14/10/2026
HAPPY NYERERE DAY!
Today, we honor Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, the Father of the Nation, whose vision, wisdom, and unwavering commitment to unity, peace, and freedom helped shape Tanzania.
His legacy reminds us that the strength of a nation lies in its unity, the dignity of its people, and the courage to build a better future for generations to come.
As Africans, may we continue to uphold his vision of a united, peaceful, and prosperous Africa. His legacy lives on in every generation that dares to dream of a better continent.
Umoja • Amani • Uhuru
HERI YA SIKU YA MWALIMU NYERERE!
Leo tunamuenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa, ambaye maono, hekima na dhamira yake ya dhati katika kujenga umoja, amani na uhuru vilisaidia kulijenga Taifa la Tanzania.
Urithi wake unatukumbusha kwamba nguvu ya Taifa ipo katika umoja wa watu wake, kulinda utu wa kila mmoja, na kuwa na ujasiri wa kujenga mustakabali bora kwa vizazi vijavyo.
K**a Waafrika, tuendelee kuenzi maono yake ya Afrika yenye umoja, amani na maendeleo. Urithi wake utaendelea kuishi kupitia kila kizazi kinachothubutu kuota na kujenga Afrika bora zaidi.
Umoja • Amani • Uhuru