LAFG

LAFG Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LAFG, Home decor, Bagamoyo.

Kwa kweli huyu ni Waziri Mkuu Wa Tanzania . Tumekukubali na tunakupenda tupo na ww mkuu daima
17/02/2026

Kwa kweli huyu ni Waziri Mkuu Wa Tanzania .
Tumekukubali na tunakupenda tupo na ww mkuu daima

Ewe kijana mwenzangu . Katika kuchagua maendeleo basi Chagua mgombea wa Urais wa CCM DR SAMIA SULUHU HASSAN .  Hapo utak...
27/10/2025

Ewe kijana mwenzangu . Katika kuchagua maendeleo basi Chagua mgombea wa Urais wa CCM DR SAMIA SULUHU HASSAN . Hapo utakua umechagua kiongozi mwenye utu na nuru ya uongozi . Kijana wa kitanzania Suluhu ya changamoto zetu ni huyu Mama mtaratibu, mpole,msikivu,mvumilivu, mwwnye maono. Wallah hautajuta kumchagua SSH 2025 -2030 inshallah.

Tutamsapoti kiongozi wetu sio tu kwenye kampeni hadi aingiapo kazini . Kazi yetu ni kutangaza na kusifia kilicho bora na...
22/09/2025

Tutamsapoti kiongozi wetu sio tu kwenye kampeni hadi aingiapo kazini . Kazi yetu ni kutangaza na kusifia kilicho bora na kizuri. Tunambiwa twajipendekeza na sisi twasema kujipendekeza kwa mtu mwema ni bora kuliko kushabikia kisicho na neema . Mama tupo na ww 2025 - 2030 inshallah . Kura kwa Dr samia, kura kwa wabunge wote wa ccm, kura kwa madiwani wote wa ccm . CCM Huleta viongozi na kwa hakika 2025 tumepata viongozii .

🌴✨ Discover Mafia Island – Tanzania’s hidden paradise! 🐠💦Crystal-clear waters, endless coral reefs, gentle whale sharks,...
07/09/2025

🌴✨ Discover Mafia Island – Tanzania’s hidden paradise! 🐠💦
Crystal-clear waters, endless coral reefs, gentle whale sharks, and untouched white-sand beaches make this island a dream escape. 🌊🐋 Whether you’re diving with vibrant marine life, sailing on a dhow at sunset, or just relaxing under swaying palms, Mafia is pure magic off the beaten path. 🌅🌺
Welcome book with us to visit the site
+255775565259

Katika kuhakikisha sekta ya utalii inapanda lazima tuwe na wawakilishi wetu ambao ni wadau wakubwa wa Utalii, wenye nia ...
06/09/2025

Katika kuhakikisha sekta ya utalii inapanda lazima tuwe na wawakilishi wetu ambao ni wadau wakubwa wa Utalii, wenye nia ya kusaidia sekta hii ikue Bagamoyo na Tanzania kwa ujumla.
Hakika Ndugu Subira Mgalu anatutosha na ni Chaguo sahihi kwetu . Hatutaki kuchanganya Tunakutaka wewe tu.
Bagamoyo ijayo ni neema tupuu inshallah.

Tunaenda Kuitembelea mbuga ya saadani . BAGAMOYO. Hifadhi pekee iliyo kwanye fukwe zetu za bahari kwa ukanda wa Africa m...
27/08/2025

Tunaenda Kuitembelea mbuga ya saadani . BAGAMOYO. Hifadhi pekee iliyo kwanye fukwe zetu za bahari kwa ukanda wa Africa mashariki .
Karibu tukajionee ukubwa wetu na vilivyo vyakwetu
Kwa kiasi cha Tsh 160000 tuu
Safari ni mwezi huu 29/09/2025
Nafasi bado 8 tu karibu sana
Book now
WhatsApp +255775565259
Call +255775565259

Viongozi wetu waalisimama imara kuhakikisha wanaweka sera,miongozo na taratibu nzuri za kunyanyua utalii ndani ya Taifa ...
27/07/2025

Viongozi wetu waalisimama imara kuhakikisha wanaweka sera,miongozo na taratibu nzuri za kunyanyua utalii ndani ya Taifa letu. Tunashukuru kwa yote mliotutendea sisi tunaenda nanyi October TUNATIKI. We love president samia and mwinyi .

"Sail into the Sunset 🌅, Dine by the Ocean 🌊Join us for a magical Sunset Cruise – watch the sky turn gold as we sail acr...
24/07/2025

"Sail into the Sunset 🌅, Dine by the Ocean 🌊

Join us for a magical Sunset Cruise – watch the sky turn gold as we sail across the ocean. Afterward, enjoy a fresh seafood dinner under the stars. 🦞🐟

✨ Romantic vibes, ocean breeze & unforgettable memories await!

📍 Book now with Alfa Adventure & Travel
🌐 www.thealfaadventure.com
📞 +255 718 307 240
📧 [email protected]
Instagram:

Kaole Ruins – Echoes of a Forgotten Era 🏛️🌿Step into Kaole — where ancient coral stone mosques and tombs tell powerful s...
03/07/2025

Kaole Ruins – Echoes of a Forgotten Era 🏛️🌿
Step into Kaole — where ancient coral stone mosques and tombs tell powerful stories from the 13th century.

Once a thriving Swahili-Arab settlement, Kaole offers a deep and peaceful experience for anyone seeking culture, history, and connection.

✨ With Alfa Adventure and Travel, you’ll enjoy: ▪️ A guided tour from local experts who bring history to life
▪️ Stunning photography spots surrounded by mystery and nature
▪️ An unforgettable journey into East Africa’s spiritual and cultural past

🌍 Whether you’re a history lover, explorer, or just curious — this is a place you’ll never forget.

📩 Book your experience today:
📱 WhatsApp: +255718307240
📧 Email: [email protected]
📸 Instagram:

Kaole is more than ruins — it’s the heartbeat of Bagamoyo’s history.

Step Back in Time… Welcome to Bagamoyo! 🏛️Walk the ancient streets where history whispers through every wall. From the o...
03/07/2025

Step Back in Time… Welcome to Bagamoyo! 🏛️

Walk the ancient streets where history whispers through every wall. From the old Swahili architecture to stories of trade, culture, and resilience — Bagamoyo is not just a place, it’s a journey through time.

✨ Whether you're a lover of history, a cultural explorer, or just looking to experience something real and unforgettable — Alfa Adventure and Travel is here to guide you every step of the way.

🚶‍♀️ Join our guided walking tours
📚 Learn the deep stories of this legendary town
📸 Capture moments that last forever

📩 Book your tour now!
📱 WhatsApp: +255718307240
📧 Email. [email protected]
📍 Instagram:

🌿 Jozani Forest Adventure 🌿Step into the heart of Zanzibar’s wild beauty! Explore lush greenery, spot the rare red colob...
30/06/2025

🌿 Jozani Forest Adventure 🌿
Step into the heart of Zanzibar’s wild beauty! Explore lush greenery, spot the rare red colobus monkeys, and enjoy a peaceful walk through nature. 🌳🐒
Perfect for nature lovers, families, and adventure seekers!

📍 Jozani Forest, Zanzibar
📆 Daily departures available
📸: Alfa Adventure and Travel

📞 Contact Us:
WhatsApp: +255718307240
📧 Email: [email protected]
📲 Instagram:

Nakupenda Sandbank – Where the ocean kisses the sky⠀Just a boat ride away from Stone Town, discover this dreamy sandbank...
30/06/2025

Nakupenda Sandbank – Where the ocean kisses the sky

Just a boat ride away from Stone Town, discover this dreamy sandbank surrounded by crystal-clear turquoise waters and endless blue horizons.

Swim. Snorkel. Sunbathe. Feast on fresh seafood.
This is Zanzibar magic, and it’s calling your name! 🐚🌴

Book your Nakupenda tour now with Alfa Adventure and Travel — your ultimate island experience.

📞 WhatsApp: +255718307240
📧 Email: [email protected]
📍 Instagram:

Address

Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LAFG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category