Kitchen Utensils tz

Kitchen Utensils tz Tunauza vifaa vya kupikia na kupambia cake, cookies nk.

Ifanye keki yako iwe unique na utensils tz
Karibuni tuwahudumie
Call/ WhatsApp 0768490429/0714390429

14/05/2026

Hii offer sio ta kukosa maboss zangu
Nyie pokeeni tu order za eid
Topper mnazipata hapa
Nunua rangi yako 1 tu ujipatie eid topper yako 1 bureee
Hii offer ipo maduka yetu yoteeee
Gel color zipo
✔️ Red
✔️Black
✔️Pink
✔️Green
Bei sh. 2500 tuu
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

14/05/2026

Je, umewahi kukutana na tatizo hili jikoni? 😄👇🏽

🍫✨ JINSI YA KUREKEBISHA GANACHE ILIYOSPLIT/KUGANDA ✨🍫

Usipaniki k**a ganache yako imekuwa grainy au imejitenga 😅

Hizi ni njia 3 rahisi za kuiokoa na kuirudisha kuwa smooth & silky tena 👇🏽

1️⃣ Microwave + Whisk
Weka kwenye microwave kwa sekunde 5–8 kisha koroga haraka. Mara nyingi hurudi kuwa laini kabisa ✨

2️⃣ Tumia Hand Blender
Ikiwa bado haijakaa sawa, blend kwa sekunde 20–40. Hii husaidia emulsion kurudi vizuri 🤎

3️⃣ Ongeza Maziwa ya Moto Kidogo
Bado imegoma? Ongeza 1 tbsp ya maziwa ya moto, changanya vizuri hadi iwe smooth.

Funika kwa cling film iguse kabisa ganache yako
Iache ipumzike kidogo kwa masaa mawili 🙌🏽
Tips& video credit

💡 Tip: Ganache nyingi husplit kutokana na joto kubwa au kuchanganya vibaya. Polepole ndiyo siri 😉

14/05/2026

Maboss zangu someni caption
Video zote na picha zote ninazoweka hapa
K**a sitoandika au nitaandika bei kwenye picha lazima pia nitaweka kwenye caption
Caption zetu zote zina bei za bidhaaa👌
Ni vile tuwavivu kusoma😭
Haya angalia mpaka mwisho nimeweka size za base na bei yakee
Narudia tena
10" sh. 25000
12" sh. 30000
14" sh. 35000
16" sh. 40000
18" sh. 45000
20" sh. 50000
Wahi sasa ujipatie yako chaaaap
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbili
0614 340429

Cookies cutter za duara zipo dukani6pcs kwenye set yakeNi zile cookies cutter za kupunch easy to useSh. 8000 tuuJumla sh...
13/05/2026

Cookies cutter za duara zipo dukani
6pcs kwenye set yake
Ni zile cookies cutter za kupunch easy to use
Sh. 8000 tuu
Jumla sh. 7000 tuu
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

Cookies cutter za square zipo dukani6pcs kwenye set yakeNi zile cookies cutter za kupunch easy to useSh. 8000 tuuJumla s...
13/05/2026

Cookies cutter za square zipo dukani
6pcs kwenye set yake
Ni zile cookies cutter za kupunch easy to use
Sh. 8000 tuu
Jumla sh. 7000 tuu
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

Kacutter kadogo lakin kana maajabu yakeee 👌Watu wangu wanaelewaaaKwa barfin na cookies ni 👌 Sh. 4000 tu zinakaa 2 kwenyw...
13/05/2026

Kacutter kadogo lakin kana maajabu yakeee 👌
Watu wangu wanaelewaaa
Kwa barfin na cookies ni 👌
Sh. 4000 tu zinakaa 2 kwenyw pack yake na kila moja ni 2 in 1
Jumla sh. 3500 tuuu
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

13/05/2026

Kuna video unaangalia mpaka unatamani kuliaaaaa
Hebu nenda video ya hapo nyumba ww k**a ni baker halaf uje hapa uchukue base na chuma lako chaaaaap
Sijui niwawekee offer maana daaah 🤣🤣🤣
Zipo size tofauti tofauti
10" sh. 25000
12" sh. 30000
14" sh. 35000
16" sh. 40000
18" sh. 45000
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

13/05/2026

Hizi aibu zisikukute baker wanguuuu
Yaan aiseeee sipati picha huyo baker hapo ukumbin alikaa kona gan??
Au sijui alitoka nje 🤣🤣😭
Aiseeeee hii isikukute njoo chukua base na chuma ndio suluhisho pekee kwa ajili ya cakes zako
Base+chuma+washel+nuts
10" sh. 25000
12" sh. 30000
14" sh. 35000
16" sh. 40000
18" sh. 45000
Karibuni sana
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

12/05/2026

Zile rangi sumbufu zimetubuuuu 🙌🙌🙌
K**a ww una order ya zima moto na huna red buttercream hand blender akawe mkombozi wako sawa eeee
Kajaribu utakuja kunishukuru
Gel color za red , black, green na pink zipo dukan
1pc sh. 2500
Jumla sh. 2000
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

11/05/2026

Hebu guess🤣🤣
Mtu wa mwanzo kabisaa atakaepatia jibu ndani ya nusu saa hii nitampa RED color moja bureeee
Gel color RED,BLACK, GREEN & PINK ambazo hazina mbambamba utazipata kwetuuu
1pc sh. 2500
Jumla sh. 2000 kuanzia 10pcs
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

Cookies cutterSh 5000 tuuTunapatikana 👇 📌Machinga complex karume 0768 490429 📌Kariakoo tandamti na sikukuu 0616 430429 📌...
11/05/2026

Cookies cutter
Sh
5000 tuu
Tunapatikana 👇
📌Machinga complex karume
0768 490429

📌Kariakoo tandamti na sikukuu
0616 430429

📌Iringa barabara mbiliii
0614 340429

Address

Machinga Complex Karume, Ilala
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:30
Tuesday 09:00 - 17:30
Wednesday 09:00 - 17:30
Thursday 09:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 17:30

Telephone

+255768490429

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kitchen Utensils tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share