Afrotalia International Ltd.

Afrotalia International Ltd. Vyombo vya majumbani safirishwa kutoka UK, Germany & Italy. Afrotalia International is in Dar es salaam – Tanzania. It connects Africa and the world.

That is why it imports the world’s most famous brands of kitchen products. As well as the safest brands at all. In particular, it provides you its credibility. Not only, but also it put in front of you very high professionalism. That is to win permanently your trust. In addition to be one of its loyal customers . Afrotalia International Ltd. strives every day since its first day of incorporation.

Certainly, to achieve the highest rate of safety to its` customers. Most noteworthy, in households products. Where it aims to protect the superior taste of its` clients. Consequently, it scores very high success rates. That is really due to the high quality kitchen appliances it imports.

13/04/2026

Dehumidifier

Bei 10,000

Hii inatumika kutoa harufu mbaya ndani ,unyevu unyevu lakini pia hata uvundo pia inavuta vizuri inaondoa na vumbi pia unaweza iweka kwenye chumba chako au ofisini ,inaondoa hata unyevu unyevu kwenye nguo au kwenye kabati ,hazina adopter ni used kutoka Ujerumani .Wahi ujipatie yako sasa

Bei 10,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

13/04/2026

Milk froster

Bei 25,000

Hii ni bidhaa nzuri sana Kwa ajili ya kutengeneza povu kwenye maziwa ambalo povu hili unalitumia kuweka kwenye kahawa ili kupata capuchino,hii ni nzuri sana unaweza ukatumia nyumbani au kwenye biashara ,inatengeneza povu Kwa haraka zaidi . Wahi ujipatie yako sasa

Bei 25,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

13/04/2026

Bei 50000

Vacuum cleaner

Hii inatumika kusafisha makochi Kwa kuvuta uchafu na vumbi lote kwenye makochi na kufanya makochi Yako yawe masafi sana lakini pia unaweza kusafisha carpet au kusafisha chini kwenye sakafunyako ni mzuri sana Kwa kusafisha nyumba Yako Ina uwezo mkubwa wakuvuta Kila aina ya uchafua .Wahi ujipatie yako sasa

Bei 50000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

13/04/2026

Rice cooker

Bei 85,000

Rice cooker Nzuri na kubwa sana Kwa ajili ya kupikia wali ,hii ni Lita 2.8 unapika mpaka kilo tatu za wali haishikishi chakula ni Ina uwezo mkubwa watt 1000 hivyo inauwezo mkubwa sana ,hii ni Nzuri sana Kwa familia kubwa ,rangi yake ni nzuri pia .Wahi ujipatie yako sasa

Bei 85,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

12/04/2026

Blender

Bei 65,000

Blender Kwa ajili ya matumizi ya kusagiaa vitu mbalimbali nyumbani unaweza ukasaga juice,chakula cha moto na vitu mbalimbali ,inamuonekano wa kipekee na inakuja na grinder Kwa ajili ya kusagiaa vitu vikavu ,Inatoa sauti ndogo ukiwa unatumiwa Nzuri sana Kwa matumizi ya kusaga Yote

Specifications

Watt 500
Ac 220_240v
Stainless steel

Bei 65,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

12/04/2026

Sandwich &grill

Bei 60,000

Hii unaweza itumia Kwa matumizi mbalimbali k**a unaweza kutengenezea sandwich yaani mikate ambao unaweka nyama na mbogamboga zingine ,lakini pia ukatumia kuchomea nyama au samaki . Ina moto mkali ambao utaharakisha uweze kuivisha Kwa haraka zaidi Wahi ujipatie yako sasa

Bei 60,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

12/04/2026

Food steamer

Bei 15000

Hichi ni kifaa ambacho kinatumika kustimu chakula mfano viazi vitamu au mviringo ,samaki na vyakula vingine ambaoo Kwa chili yake utaweka maji ya moto kwenye sufuria juu utaweka vyakula vyako ili viive Kwa mvuke ni nzuri Sana unapata chakula kikiwa kina virutubisho vyote . Wahi ujipatie yako sasa

Bei 15000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

12/04/2026

Bei 75000

Hii inatumikaa kusaga juice bila kutumia maji kabisa ni nzuri sana Kwa watu wote kwani inakusaidia kupata juice fresh kabisa unaweza kusaga matunda mbalimbali k**a machungwa karoti matango na mengine mengi . Wahi ujipatie yako sasa

Bei 75000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

12/04/2026

Bei 250,000

Hii hutumika kufanya massage miguuni ni nzuri kwani unaweza kutumika saloon au hata nyumbani inasaidia kufanya misuli ya chini ya unyayo kuweza ku relax vizuri kabisa Wahi ujipatie yako sasa

Bei 250,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

11/04/2026

Food processor

Bei 75000

Hapa unapata vitu vitatu kwenye bidhaa mboja unapata hand blender Kwa ajili ya kusagia juice chakula cha mtoto na smoothie,lakini pia unapata ya kupondea viazi na kutengeneza viazi vilaini na yakusagia karoti au nyanya na matango . Wahi ujipatie yako sasa

Bei 75,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

afrotaliaTZ afrotalia_bunju afrotalia_tools

11/04/2026

Bei 250,000

Mashine ya kushonea

Hii inatumika Kwa mafundi cherehani Kwa ajili ya kushonea nguo mbalimbali hii ni ya umeme hivyo itakurahisishia wakati wa kushona nguo zako inaweza kushona katika mitindo ya U*i tofauti tofauti.Wahi ujipatie yako sasa

Bei 250,000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

11/04/2026

Bei ya sasa 5000

Vacuum sealer

Hii inatumika kufungia mifuko ambayo unakua umeweka vitu mbalimbali inaweza kuwa nyama karanga ubuyu na vitu vingine mbalimbali inafunga mifuko midogo na mikubwa kwa haraka zaidi .Wahi ujipatie yako sasa

Bei 5000

#0757252557 #0686979377

Kwa wale wanaotaka kununua pisi nyingi,mnakaribishwa tutawapa bei spesho njoo tufanye biashara.

Tupo Mikocheni B pembeni ya Nakiete pharmacy

Address

Mikocheni B, Mwai Kibaki Road, Building No. 161
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 16:00
Sunday 11:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afrotalia International Ltd. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Our Mission

We are pleased to provide our customers with the latest technology in the world of electrical appliances and the finest types of clothing brands in the European and regional markets, to connect our local & international markets to help customers to find the latest solutions, tools, electrical equipment and the best international fashions, with high quality specifications and satisfy all tastes because we are your choice the most appropriate and the best.

Ahmed Elhaj

G.Manager