Alamo electronics

Alamo electronics hapa utafurahi na kukuimika
Usiache kutufollow
bidhaa original, bidhaa za kisasa

23/03/2026
0656 123 248 Location: Sinza Mori
04/03/2026

0656 123 248
Location: Sinza Mori

14/02/2026

Call | WhatsApp 0656 123 248 | 0686 705 556
Bei: 185,000/=

Usafi si kazi tena – ni starehe! With our 16kPa of raw suction power, hii 3-in-1 BEAST inasafisha floor, inasafisha madirisha,carpets, masofa, draws n.k.
SHINES LIKE A PRO.
Chukua yako leo!

Tunapatikana sinza mori na pia kuna huduma ya delivery.

11/02/2026

Bei 65,000 /=
0656 123 248 | 0686 705 556

Magnetic wireless powerbank
-Unaweza chaji wireless
-unaweza chaji na Normal USB so chaji kivyovyote
-Power up your phone, earbuds, mp3, pad, Bluetooth device, some tablet na device nyingine kedekede.
-Ina IC protector inayozuia over charge hivyo ni salama salmini kwa battery lako.
- Slim yaani ni nyembamba sanaa na ni nyepesi sana
-Magnetic inanasa vema nyuma ya simu yako for wireless charging.

Inapatikana Sinza Mori Na Pia Delivery Ipo nchi nzima

Yes tunafanya delivery katika Mazingira lazima uinjoy
06/02/2026

Yes tunafanya delivery katika Mazingira lazima uinjoy

02/02/2026

Where is he?πŸ˜ƒ

30/01/2026

πŸ“ž 0656 123 248 | 0686 705 556

πŸ”₯ 3 in 1 ELECTRIC JACK (BEI: 350,000/=)
Bonyeza button.
Gari linanyanyuka,
Bolti zinakutii.
Tairi linajaa upepo.
Hakuna mabishano. Hakuna drama.

πŸ”₯ JUMP STARTER (BEI:170,000/=)
All-in-One Car Emergency Kit.
Washa gari β€’ Jaza upepo β€’ Chaji simu
πŸ“ Sinza Mori | Delivery βœ… | πŸ“ž 0656 123 248

Hivi sio vifaa vya β€œwanaume wa nguvu”.
Ni vifaa vya watu wenye akili.
Mwanamke, mwanaume, kijana, mzee β€” wote sawa mbele ya button moja.

Usiku wa manane, mvua inanyesha, barabarani uko solo. Dakika chache baadaye? Tayari unaendelea na safari.

Hakuna kupiga simu kuomba msaada. Hakuna mikono michafu. Hakuna jasho la bure.

Hapa haujanunua jeki.
Umenunua uhuru + muda + heshima yako barabarani.

πŸ“ Sinza Mori | Delivery nchi nzima.

Nawaombea wote Mungu awajalie pesa Mingi, Muweze kununua vitu vyote mlivopiga screenshot πŸ₯³Ameen
26/01/2026

Nawaombea wote Mungu awajalie pesa Mingi, Muweze kununua vitu vyote mlivopiga screenshot πŸ₯³Ameen

Gari likigoma kuwaka, tairi likikosa upepo, simu ikafa.Hii kifaa kimoja kinamaliza yote.πŸ’₯ Bei: 170,000πŸ“ž 0656 123 248 | 0...
25/01/2026

Gari likigoma kuwaka, tairi likikosa upepo, simu ikafa.
Hii kifaa kimoja kinamaliza yote.
πŸ’₯ Bei: 170,000
πŸ“ž 0656 123 248 | 0686 705 556
πŸ“ Sinza Mori | Delivery βœ…

25/01/2026

Gari lako likisema Fyoko!, hii inasema HAKUNA MATATA.
All-in-One Car Emergency Kit.
Washa gari β€’ Jaza upepo β€’ Chaji simu
πŸ“ Sinza Mori | Delivery βœ… | πŸ“ž 0656 123 248

Wirelesspowerbank 10,000mahRating: (5/5)⭐⭐ ⭐⭐⭐Sinza mori, delivery nchi nzima
23/01/2026

Wirelesspowerbank 10,000mah
Rating: (5/5)⭐⭐ ⭐⭐⭐
Sinza mori, delivery nchi nzima

Address

Sinza Mori
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alamo electronics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share