Imani Glass works.

Imani Glass works. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Imani Glass works., Glass & Mirror Shop, Dar es Salaam.

GLASS WORKS,
▪️Alluminium windows&Doors
▪️Pvc windows&doors
▪️Balcony/balustered
▪️Cating wall &skylight
▪️Fremless & toilet shower
Tupo dar es salaam _ Tegeta
Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania
Visiting site mikoani tiketi Go & Return 0776452727

28/05/2026

1. Euro Section
✅ Profile zake huwa nzito na nene zaidi
✅ Muonekano wake huwa premium / wa kisasa
✅ Inaonekana expensive na clean finish
✅ Inabeba vizuri glass kubwa na milango/dirisha kubwa
✅ Mara nyingi hutumika kwenye nyumba za kisasa, apartments, offices
Faida zake:
Imara zaidi
Inadumu sana
Sliding zinatembea vizuri
Inaongeza value ya nyumba
Hasara:
Bei ipo juu zaidi.

2. Aluminium za kawaida
2a.✅Ipo aluminium cm10 ambayo ni premium choice
✅Hufaa miradi mkubwa na midogo
✅Chuma yake ni Nene lakini Ina ukomo WA matumizi Kwa MADIRISHA makubwa
2b. Aluminium Cm8 (nyembamba)
✅ Profile zake huwa nyepesi na simple
✅ Bei yake huwa nafuu zaidi
✅ Inafaa kwa budget za kawaida
Faida zake:
Gharama ndogo
Nzuri kwa miradi ya kawaida
Hasara:
Mara nyingi si nzito sana
Kwa openings kubwa inaweza isiwe strong k**a Euro section
Muonekano wake sio premium sana ukicompare na Euro
Mfano rahisi:
Aluminium ya kawaida = Toyota nzuri ya matumizi ya kawaida 🚗
Aluminum cm10= Muonekano wa mzuri /medium na imara🧨
Euro Section = Version ya luxury / heavy duty 🔥
Kwa kazi za dirisha kubwa, sliding doors, luxury finishing, wengi hupendelea Euro Section, na wengine Aluminium cm10.

🌙Katika siku hii ya Eid ya Kuchinja, tunawatakia wateja wetu, marafiki na familia zote Eid yenye amani, baraka na furaha...
27/05/2026

🌙Katika siku hii ya Eid ya Kuchinja, tunawatakia wateja wetu, marafiki na familia zote Eid yenye amani, baraka na furaha tele. 🤍✨
Asanteni kwa kutuamini kwenye kazi zenu za Glass, Madirisha, Sliding Doors, Shower Cubicles & Stainless Works.
Mwenyezi Mungu aikubali ibada yetu, azidishe riziki zetu na afungue milango ya mafanikio. 🙏🏻
EID MUBARAK!
— IMANI GLASS WORKS 👑
📍 Dar es Salaam, Tegeta
📞 +255 776 452 727

26/05/2026

Imani glass works tupo tegeta kibaoni
Tuna deal na kazi Zote za kioo
Tupigie 0776452727

25/05/2026

Kuna watu wanafikiri dirisha ni dirisha tu… mpaka waone tofauti yake kwenye nyumba iliyomalizika.
Dirisha bila vent, chuma nene, muonekano clean… simple, lakini linaipa nyumba heshima nyingine kabisa.🔥

25/05/2026

Sliding door shata 4 — muonekano wa kitajiri, finishing safi, quality ya kuonekana mbali. 🔥
Tupe kazi… matokeo yatajitangaza yenyewe.

24/05/2026

Mteja alitaka nyumba ionekane expensive… sisi tukaleta muonekano wa kiwango kingine ✨🏠
BEFORE vs AFTER imekaaje?
Luxury is in the details.”

24/05/2026

Ubora unaonekana kabla hata hujaingia ndani 🔥✨
Dirisha kubwa, sliding laini, finishing safi — kazi yetu ni kuipa nyumba yako muonekano wa kisasa na wa kifahari.
Karibu tufanye nyumba yako iongee yenyewe 😎🏡
📞 DM / WhatsApp kwa maelezo.

23/05/2026

“Mteja alisema anataka kitu simple… lakini matokeo yake yakatoa premium look kabisa 😮🔥
Sliding door yenye design safi, uimara na muonekano unaoongeza thamani ya nyumba yako.
Ukijenga au ukimalizia nyumba, detail k**a hizi zinafanya tofauti kubwa.
📞 Karibu kwa kazi za sliding doors zenye quality na finishing ya kiwango.”
Namba kwenye BIO

23/05/2026

“Ukiona nyumba imekaa gharama hata kabla hujaingia ndani… ujue corner window imehusika 😮‍💨🔥
Hii ndiyo detail inayofanya nyumba ionekane ya kisasa, expensive na tofauti kabisa 🪟✨”

22/05/2026

“Dirisha kubwa linahitaji zaidi ya muonekano mzuri… linahitaji material imara na finishing safi ili lislide laini miaka na miaka 🔥🏠
Ubora unaonekana kwenye movement, uimara na detail zake 😮‍💨✨”

22/05/2026

“Usingoje mpaka uone kwa jirani…
anza wewe kwanza.
Inbox tufanye kazi ikutambulishe.”

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imani Glass works. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share