04/06/2025
Tuna pamba nyumba kwakutumia tofali zakuchoma na kubadilisha muonekano wa nyumba yako .
1. Ukuta wa TV sebuleni.
2. Ukuta wotote ndani.
3. Chumba cha Kulala kwa ukuta mmoja.
4. Washrooms kwa ukuta
5. Corridors za ndani
6. Unaweza kufunika nyumba yote nje/facade & cladding
7. Unaweza zitumia kurembea fensi ya ukuta kuzunguka nyumba
7. Pia hutumika kuremba katika majengo ya umma k**a Kanisa, Msikiti, ofisi, baa, mgahawa wa chakula, kwa mamna zaidi zinavyo tumika.
Faida ya tofali hizi ni.
1) kuepuka kupaka rangi mara kwa mara nyumba yako.
2) Ina badilisha muonekane wa nyumba yako inakuwa na muonekano wa kisasa na ya kuvutia zaidi.
3) K**a nyumba yako ina tatizo la fangasi ukutani au ukuta wako unaliwa na magadi au chunvi tumia bricks wall decoration kwani ndiyo suluhisho la
mambo yote hayo.
4 )Tuna decorate mpaka ndani ya nyumba popote upendapo tunakuwekea urembo.
5) Pia huduma yetu ninafuu sana tunakukaribisha mteja wetu karibu sana na kwa ushauri pia tunatoa. Karibu sana boss wangu.
Tunapatikana Mikocheni B
Na mawasiliano yetu ni.
0672 3845 10
0672 3845 10 bricks