Mashuka Quality Centre

Mashuka Quality Centre Tunauza mashuka, pazia, duvet, mapambo na bidhaa nyingine nyingi za ndani. Jumla na Rejareja. Tunafanya delivery mikoani na nchi jirani. PIGA: 0752644995

Tunapatikana | Makumbusho stand | DSM.

14/03/2026

SHUKA ZA UGANDA

Material:cotton 100%
size:8*8
Idadi:shuka 2 foronya 4
Bei:35,000 balo ni 670,000 unapata set 20 yan shuka 40 foronya 80
Bale ya white background 670,000 zinakaa set 20

🔥shuka zetu hazipauki hazichuji hazitoi vipele tupo Makumbusho stand opposite na makumbusho square🔥

SHUKA ZA UGANDAMaterial:cotton 100%size:8*8Idadi:shuka 2 foronya 4Bei:35,000 balo ni 670,000 unapata set 20 yan shuka 40...
14/03/2026

SHUKA ZA UGANDA

Material:cotton 100%
size:8*8
Idadi:shuka 2 foronya 4
Bei:35,000 balo ni 670,000 unapata set 20 yan shuka 40 foronya 80 (FRONT RIVERSE)
Bale ya white background 670,000 zinakaa set 20

🔥shuka zetu hazipauki hazichuji hazitoi vipele tupo Makumbusho stand opposite na makumbusho square🔥

Fireplace lantern 🏮 Zipo dukani. Moto wake artifical unasaidia kupendezesha sebule, chumba na Ofisi yako. Call/WhatsApp ...
14/03/2026

Fireplace lantern 🏮 Zipo dukani. Moto wake artifical unasaidia kupendezesha sebule, chumba na Ofisi yako. Call/WhatsApp 0752644995.

🤩Foronya za kishua, nadhifu na za kidumu, hizi hapa.Size cm 16*16Bei 5,000 tu!Jumla 4,500 kuanzia pc 10Mto na Foronya 10...
14/03/2026

🤩Foronya za kishua, nadhifu na za kidumu, hizi hapa.
Size cm 16*16
Bei 5,000 tu!
Jumla 4,500 kuanzia pc 10
Mto na Foronya 10,000

Piga 0752644995
Tunapatikana Makumbusho Stand DSM.

🥶Tunajua Baridi limekuwa kali, na kwa sababu tunakujali, tumeamua kukuletea   za kishua.Size yake ni 7*8 Manyoya ya Pamb...
14/03/2026

🥶Tunajua Baridi limekuwa kali, na kwa sababu tunakujali, tumeamua kukuletea za kishua.

Size yake ni 7*8
Manyoya ya Pamba laini
Rangi tunakuachia uchague mwenyewe😁
Kwa Tsh 15,000 tu

Tupigie 0752644995

Tumewaletea glass food containers. Zinatunza joto la chakula kwa Muda mrefu na kwa ubora uleule. Glass yake ngumu inakuw...
14/03/2026

Tumewaletea glass food containers. Zinatunza joto la chakula kwa Muda mrefu na kwa ubora uleule. Glass yake ngumu inakuwezesha kupasha chakula kwenye oven au microwave bila Kupasuka.

Pcs zote 4 zikiwa na rangi tofautitofauti unazipata kwa Tsh 40,000 tu!

Tunapatikana Makumbusho Stand | Dar es Salaam
Tupigie 0752644995

  kwa ajili ya kuboresha muonekano wa sebule yako. Zipo kwenye rangi tofautitofauti, Kwa Bei ya punguzo Tsh 35,000. Tupi...
14/03/2026

kwa ajili ya kuboresha muonekano wa sebule yako. Zipo kwenye rangi tofautitofauti, Kwa Bei ya punguzo Tsh 35,000. Tupigie 0752644995.

Tunapatikana Makumbusho Stand DSM.

  zimerudi tena. Tumia kuweka vinywaji Baridi na Joto kwa zaidi ya Masaa 12. Zipo rangi tofautitofauti na zinakuja na Of...
13/03/2026

zimerudi tena. Tumia kuweka vinywaji Baridi na Joto kwa zaidi ya Masaa 12. Zipo rangi tofautitofauti na zinakuja na Offer ya Vikombe viwili vya ziada! Bei ni 10,000 tu!

Tupigie 0752644995. Karibu dukani, Tunapatikana makumbusho stand Dar Es Salaam.

Address

MAKUMBUSHO STAND
Dar Es Salaam
14102

Opening Hours

Monday 05:00 - 00:00
Tuesday 05:00 - 00:00
Wednesday 05:00 - 00:00
Thursday 05:00 - 00:00
Friday 05:00 - 00:00
Saturday 05:00 - 00:00
Sunday 05:00 - 00:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mashuka Quality Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category