GRACE Art & Craft

GRACE Art & Craft I'm an art and craft hobbyist, baking and cake decoration. This page will be randomly displaying my

Mishumaa ya rangi zote inapatikana kwa oda maalumu. Bei ni miembamba 15,000 kwa dozen moja na mikubwa yake 20,000 kwa do...
20/04/2026

Mishumaa ya rangi zote inapatikana kwa oda maalumu. Bei ni miembamba 15,000 kwa dozen moja na mikubwa yake 20,000 kwa dozen. Toa oda kwa namba 0754886834 au 0715886834. Karibu.

07/02/2026

Valentine Day imekaribia. Mishumaa maalumu itapatikana kwa oda. Kutakuwa na floating candles, tapers na pillar candles. Tunatuma popote kwa gharama ya mteja. Toa oda 0754886834, Grace

29/12/2025

Jose aliongea haya maneno kwenye interview 2023 . Na ndivyo aliishi maisha yake k**a anavyo ongea. Tuzidi kumuombea kheri katika safari yake ya kurejea kwa Muumba. Bwana alitoa na Bwana alitwaa. Jina lake lihimidiwe. RIP Joseph😭😭😭

29/12/2025

TANZIA: Naskitika kutangaza kifo cha Kijana wetu Joseph Chiwango. Joseph alikuwa ni nuru katika kuiweka Grace Candles ionekane katika events kubwa k**a maonyesho ya na mengineyo. Naamini Joseph amegusa maisha ya vijana wengi kwani alikuwa mhamasishaji mzuri na mwenye weledi unaweza thibitisha hapa . Leo amezima k**a mshumaa. Nakosa maneno mazuri ya kumuelezea Joe zaidi ya kumuombea Mungu ailaze roho yake mahali pema. You have gone too soon. RIEP Joseph

Mishumaa ya Christmas: Tuna tengeneza kwa oda maalumu tu. Karibu
27/11/2025

Mishumaa ya Christmas: Tuna tengeneza kwa oda maalumu tu. Karibu

27/11/2025

Mishumaa hii inapatikana kwa oda. Ukitaka rangi za Liturgia k**a nyekundu, kijani, zambarau tuna tengeneza pia. Kwa zenye print ya maandishi au picha bei inaongezeka kwa Tsh. 10,000/=. Oda kwa namba 0715886834 Grace.

25/11/2025

Pillar candles. Suitable for church services. Place your order for your preference colours. For 30cm height, weight 1000g is plain Tsh. 35,000 and customized with print or picture 45,000 - 50,000/=.

🇹🇿

Grace Candles tutakuwepo . Karibu ujionee bidhaa zetu za kipekee na zenye ubunifu wa kimataifa. Karibu uguse, unuse n.k....
03/02/2025

Grace Candles tutakuwepo . Karibu ujionee bidhaa zetu za kipekee na zenye ubunifu wa kimataifa. Karibu uguse, unuse n.k. tutakuwa na bidhaa za zawadi za sherehe mbalimbali. Usikose kuhudhuria AWTF 2025.

27/12/2024

Address

Ilazo Extension
Dodoma
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GRACE Art & Craft posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GRACE Art & Craft:

Share