Precious oven page

Precious oven page πŸ“ˆ ATalkwithKulwa
πŸ’‘ Ushauri/elimu ya fedha
πŸ’° Jifunze kudhibiti mali zako
πŸ“Š Kuwa na mtazamo wa kifedha wenye mafanikio
πŸ‘‡ Jiunge nasi kwa maarifa zaidi

"2025 ni mwaka wa nidhamu ya kifedha! πŸ’° Anza kuokoa, punguza madeni, na wekeza kwa akili.  ""Usiishi kwa mshahara tu, we...
05/01/2025

"2025 ni mwaka wa nidhamu ya kifedha! πŸ’° Anza kuokoa, punguza madeni, na wekeza kwa akili. "

"Usiishi kwa mshahara tu, wekeza kwa ajili ya kesho! πŸ“ˆ "

"Fanya bajeti, thibiti matumizi, fanikisha ndoto zako! πŸ“βœ¨ "

"Akiba ni ngao yako! 🚨 Unda akiba ya dharura kwa usalama wa kifedha. "

"Maarifa ni nguvu! πŸ“š Jifunze kuhusu fedha na badilisha maisha yako. "

"Punguza madeni, ongeza akiba! πŸš€ Uamuzi mzuri wa kifedha huanza sasa. "

"Fuatilia matumizi yako, zidisha akiba yako! πŸ’Ό "

"Epuka matumizi ya kupita kiasi; kila shilingi ina nafasi yake. πŸ’‘ "

"Zungumza na mshauri wa kifedha na fikia malengo yako. πŸ’Ό "

"Mwaka huu, ziruhusu pesa zako zikufanyie kazi! πŸ’ͺπŸ’° "

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
05/01/2025

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

31/12/2024

Hello dears,tunamshukuru Mungu kwa 2024,Karibu kwa 2025.Kama unataka uhuru wa kifedha page hii ni kwaajili yako
31/12/2024

Hello dears,tunamshukuru Mungu kwa 2024,Karibu kwa 2025.Kama unataka uhuru wa kifedha page hii ni kwaajili yako

Wanawake wa Vyama vya Ushirika wa kifedhaπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
26/10/2024

Wanawake wa Vyama vya Ushirika wa kifedhaπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

Jukwaa la wanawake Ushirika wa kifedha
20/10/2024

Jukwaa la wanawake Ushirika wa kifedha

Friends πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
20/10/2024

Friends πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°

Usipofanya umekubali kushindwa
17/10/2024

Usipofanya umekubali kushindwa

Kanuni ya kwanza ya peaa ni kutafuta kipato kwa njia halali.Tufanye kazi kwa nguvu zoteeeπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
13/10/2024

Kanuni ya kwanza ya peaa ni kutafuta kipato kwa njia halali.Tufanye kazi kwa nguvu zoteeeπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Uaiogope kuanza,anza kwa hicho hicho kidogo ulichonacho,ipo siku utakua mkubwa.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
13/10/2024

Uaiogope kuanza,anza kwa hicho hicho kidogo ulichonacho,ipo siku utakua mkubwa.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Address

Kilimanjaro

Telephone

+255746009863

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Precious oven page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Precious oven page:

Share