24/10/2026
OFA KABAMBE YA MAGODORO KWA WANA MBEYA WOTE NA WANAFUNZI! 🎉
Msimu huu, Mbeya Magodoro Kabwe tunakupa fursa ya kuboresha usingizi wako! Iwe wewe ni mwanafunzi unayeripoti chuoni, mzazi, au mkazi yeyote wa jiji la Mbeya unayehitaji kubadili godoro la nyumbani kwako, tupo kwa ajili yako.
Tunayo magodoro imara, mapya, na ya kisasa (High-Density & Orthopedic) kutoka chapa zote bora unazoziamini. Pata godoro la viwango vya juu kwa bei rafiki kabisa inayoendana na bajeti yako—iwe unanunua rejareja au jumla.
Usiwe na presha ya kubeba, sisi tumerahisisha huduma!
🚚 USAFIRI NI BURE KWA MBEYA MJINI KOTE!
Wewe chagua godoro unalolitaka, kisha sisi tutakufikishia mpaka mlangoni kwako (hostel, geto, au nyumbani) bila gharama yoyote ya ziada.
📞 Wasiliana nasi sasa: 0746354853
📱 Tufuatilie mtandaoni: magodoro Kabwe
Mbeya Magodoro Kabwe