Drney.seatcover

Drney.seatcover Wellcom car Interior designer
Call 0719371234
>Seatcover
>Dashboard
>Roof
>Car pet Quality is our first priority

21/03/2026

🔥 HARIER UPGRADE – PREMIUM LOOK 🔥Toyota Harrier yako deserve muonekano wa daraja la juu 💎Tumetengeneza Seatcover Premium...
19/03/2026

🔥 HARIER UPGRADE – PREMIUM LOOK 🔥

Toyota Harrier yako deserve muonekano wa daraja la juu 💎
Tumetengeneza Seatcover Premium Quality (Black + Red Stitching) – muonekano mkali, wa kifahari na wa kudumu.

✅ Seatcover Premium – 1,000,000
✅ Dashboard Premium – 400,000
✅ Roof Premium – 500,000

✨ Finishing safi, stitching kali, comfort ya kiwango cha juu

✨ Inalinda interior yako + inaongeza thamani ya gari

📍 Location: Sinza Mapambano
📞 Office: 065 719 7839
📲 Dr Ney: 0719 371234

🚨 Nafasi chache kwa booking – wahi sasa tufanye gari yako iwe next level!

Watu wengi hudhani seatcover ni mapambo tu… lakini ukweli ni zaidi ya hapo.Seatcover za Premium Leather zina faida kubwa...
09/03/2026

Watu wengi hudhani seatcover ni mapambo tu… lakini ukweli ni zaidi ya hapo.
Seatcover za Premium Leather zina faida kubwa:
✔️ Hulinda seat za gari zisichanike au kuchafuka
✔️ Huongeza comfort unapokaa ndani ya gari
✔️ Hufanya interior ya gari ionekane mpya na ya kifahari
✔️ Huongeza thamani ya gari lako ukija kuuza
Hii ni Mazda tuliyobadilisha seatcover kwa design ya Premium Leather – strong, clean na luxury finish.
K**a unapenda gari lako lionekane tofauti na la kawaida, interior ndiyo sehemu ya kwanza kuanza.

📍SeatCovertz – Smart Car Interiors

LuxuryInterior DarCars

12/02/2026
Thank you so much brother  for supporting my journeyYour support is a great motivation for me and for the young fighters...
11/02/2026

Thank you so much brother for supporting my journey
Your support is a great motivation for me and for the young fighters🙏

10/02/2026

Unajua gari la kwanza kufika Tanzania lilikuwa lini… na SeatCover zilianzaje?
Kutoka mwaka 1910 mpaka leo, hii ni historia halisi ya magari East Africa na mageuzi ya huduma ya Car Interior.
Video maalum imeandaliwa na
Kwa udhamini wa

Karibu ujifunze historia ambayo wengi hawaijui.

EastAfricaCars

08/02/2026

Asante kwa kuamini kubadilisha muonekano wa gari kuwa premium.

Tunatoa huduma za:
• Seat covers (Leather & Fabric)
• Roof lining
• Door panels
• Carpet fitting
• Full interior upgrade

📍 Sinza Mapambano, Dar es Salaam
📞 065 719 7839

SeatCovertz – Smart Car Interiors.

CarUpgrade TanzaniaCars PremiumInterior Sinza CarLifestyle

Cc
07/02/2026

Cc

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255719371234

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Drney.seatcover posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share