19/12/2025
Msani Chipukuzi Mwenye Kasi Blax DC Akiwa 360 Online Tv kwenye podcast Ya Fabian Louie Kilifi ama Pwani Kwa Jumla Kuna talanta nyingi sana ila fursa ndio zimekua chache Kwa msani mdogo kuonekana mwenye thamani ila Kwa msani huyu alisema hatakata tamaa kwenye mahojiano yake hapo jana