28/10/2026
๐Kila kebab ina simulizi yake hii ni safari yangu๐๐ป
Kuanzia majaribio ya mwanzo hadi kuboresha ladha, muonekano na ubora wa kila kebab๐๐
Siri ni upendo kwenye mapishi na viungo sahihi ๐ค
Karibu jikoni kwetu
Oda siku 2 kabla:
0754352030