Tanfoam Limited

Tanfoam Limited Tanfoam Limited is in the business of manufacturing and marketing of Quality Mattresses & allied Soft home textile products in the East African region.

28/05/2026

Chunga madeni yasikukoseshe vitu vizuri k**a magodoro bora kutoka Tanfoam.

Kutokana na mamombi mengi tuliyoyapokea kutoka kwa wateja wetu, ofa yetu ya msimu huu wa Eid inaendelea, endelea kufurah...
27/05/2026

Kutokana na mamombi mengi tuliyoyapokea kutoka kwa wateja wetu, ofa yetu ya msimu huu wa Eid inaendelea, endelea kufurahia punguzo la hadi 20% unaponunua bidhaa za Tanfoam kwenye maduka yetu mpaka tarehe 31,swipe kujua duka lililo karibu nawe.
Eid Mubarak!

Usiku wenye utulivu, siku yenye baraka Katika kipindi hiki cha Eid, hakikisha mwili wako unapumzika kwenye ubora unaoami...
27/05/2026

Usiku wenye utulivu, siku yenye baraka
Katika kipindi hiki cha Eid, hakikisha mwili wako unapumzika kwenye ubora unaoaminika kutoka Tanfoam. Usingizi wa bora ni sehemu ya maisha ya bora. Eid Mubarak from us to you.

Tulitaka kutoa hii ilani jana juu ya usingizi mzito,wa uhakika na wa kipekee unaopatikana kwenye magodoro yetu ya Tanfoa...
26/05/2026

Tulitaka kutoa hii ilani jana juu ya usingizi mzito,wa uhakika na wa kipekee unaopatikana kwenye magodoro yetu ya Tanfoam, ila tukaona leo inafaa zaidi, ila chunga,keshokutwa kazini.Lala kwa uhakika, lalia Tanfoam.

K**a usiku wenu unaanza k**a slide ya kwanza na kuishia k**a ya pili, usikubali blanket liwatenganishe...swipe mpaka sli...
21/05/2026

K**a usiku wenu unaanza k**a slide ya kwanza na kuishia k**a ya pili, usikubali blanket liwatenganishe...swipe mpaka slide ya tatu tuwajenge na Funikety.

20/05/2026

Tanfopremium, fahari na starehe ndani ya godoro moja.

Siku ndefu kazini?usiwaze...suluhisho lako ni moja tu...usingizi bora na wa uhakika ambao unapatikana kwa kulalia godoro...
19/05/2026

Siku ndefu kazini?usiwaze...suluhisho lako ni moja tu...usingizi bora na wa uhakika ambao unapatikana kwa kulalia godoro sahihi kutoka Tanfoam. unangoja nini?

18/05/2026

Zima kelele zote unapolala kisha amka ukiwa fresh kupigania shughuli zako. Lo**ta kutoka Tanfoam..mfalme pekee wa magodoro ya spring.

Punguzo!!!Punguzo!!!Punguzo!!!Furahia kujipatia bidhaa zetu zote kwa punguzo la mpaka 20% kwenye maduka yote ya Tanfoam ...
16/05/2026

Punguzo!!!Punguzo!!!Punguzo!!!
Furahia kujipatia bidhaa zetu zote kwa punguzo la mpaka 20% kwenye maduka yote ya Tanfoam kuanzia tarehe 18 mpaka sikukuu ya Eid. Swipe 👉🏿 ama njoo DM ili upate kujua duka letu lililopo karibu nawe.

15/05/2026

Godoro bora na uhakika la spring ni moja pekee, Lo**ta, lililotengenezwa kipekee kukupa raha ya muda mrefu.

14/05/2026

Kuna tofauti kati ya kulala na kulala vizuri, unapolalia godoro la uhakika kutoka Tanfoam,unastahili ubora uleule unapojifunika. Fika kwenye duka letu lililopo karibu nawe, au kwa mawakala kote nchini, kwa urahisi zaidi njoo DM ulizia Funiketi kisha upgrade usingizi wako kwa blanketi letu la kisasa.

Address

13092
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255789210210

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanfoam Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanfoam Limited:

Share