07/04/2023
***Matumizi ya FACE BRUSH***
-Kuondoa mafuta kwenye ngozi ya uso
-Huondoa seli zilizokufa usoni
-kusafisha makeup
-Kuondoa weusi kwenye ngozi
-Husafisha ngozi vyema na kuifanya ya kung’aa
📌Uzuri wa face brush hizi ukilinganisha na nyingine;
•Haitumii battery wala sio ya kuchaji hivyo itadumu muda mrefu (Utunzaji ni muhimu).
•Ni laini mno hivyo haisababishi ngozi kuumia, kuchubuka wala kupata vidonda.
•Unaweza kutumia pande mbili SILCON na BRUSH (kote ni laini).
Inapatikana kwa bei nafuu kabisa ya Sh 6,000/=
***POINT YA MSINGI KWENYE UTUNZAJI WA USO***
••Unapopaka product yoyote usoni lazima uhakikishe umepaka kwenye uso msafi ili uweze kupata matokeo ya unachokipaka.
••Ngozi ya usoni ni laini na nyepesi kuharibika hivyo usiisugue kwa kitu kigumu na usichanganye (scrubber ya mwilini na usoni) zifanye ziwe tofauti.
••Safisha na utunze visafisha uso vyako, bacteria watasababisha ngozi yako kuzidi kupata vipele au chunusi.
••MWISHO kabisa consistency(uthabiti) Ili uweze kupata matokeo mazuri lazima ufate maelekezo ya unachokipaka usipake leo ukaacha hapana fanya kila siku ndio utakavyopata majibu mazuri zaidi.
Usisahau kushare na mwingine ili sote tupate ujuzi