09/10/2025
✨ Luxury Curtains – ✨
Unataka kubadilisha mwonekano wa nyumba au ofisi yako iwe ya kifahari bila kutumia gharama kubwa? 🏡
👉 Karibu Mapazia Vunja Bei, hapa pazia sio tu mapazia – ni mapambo yanayoongeza furaha kwenye nyumba yako! 🎉
Huduma ya uhakika
Huduma ya haraka
Huduma kwa vitendo
Huduma pasipo kujali mteja ni kazi bure
Huduma zote na nyingizo zipo sehemu moja tu
Karibu uhudumiwe kifalme uondoke na tabasamu 😊
Piga simu sasa 📞 #0759174228
📌Huduma zetu zinazingatia mahitaji ya mteja wetu pia tunatoa ushauri kwa mteja kuhakikisha kwamba tunafanya kazi yenye ubora na ya kupendezaa.
🪟 Bei kwa mita:
• Pazia nzito – TZS 25,000 / mita
• Pazia nyepesi – TZS 15,000 / mita
🪟 Pazia za seti (tayari kushona, kifahari na maridadi):
• Seti ni pazia nzito 2 + pazia nyepesi 1
• Zina urefu wa kawaida, na kwa wenye nyumba ndefu tunakata kitambaa kulingana na urefu wowote utakaohitaji ✂️
🔹 Bei za seti:
• Upana 1.5M 👉 TZS 85,000
• Upana 2M 👉 TZS 95,000
• Upana 3M 👉 TZS 150,000
• Upana 4M 👉 TZS 200,000
🎨 Huduma za ziada:
✔️ Tunafika site kuchukua vipimo sahihi kwa DSM gharama ni nauli ya mteja pia mkoni hvyo hvyo
✔️ Tunakushauri rangi bora zinazolingana na nyumba yako
✔️ Tunakupa mwongozo wa kitaalamu wa mapambo ya ndani
😄 Hapa
• Ukiweka pazia jipya, hata wageni wako watauliza “umehamia wapi? nyumba imebadilika sana!”
• Bei zetu ni tamu kiasi kwamba utaacha kuhesabu, utaanza kuchagua rangi unazopenda 😂
• Na ukifika dukani, tunakukaribisha kwa tabasamu na huduma ya kirafiki – maana furaha yako ni fahari yetu 💖
📞 Wasiliana: #0759 174 228
✅Kwa office blinds and home
blinds tunatoa huduma na mauzo ya blinds zifuatazo 👇🏼
🔹Zebra blinds Tsh 80,000/= sqm
🔹Venetion blinds Tsh 60,000/= sqm
🔹Vertical blinds Tsh 40,000/= sqm
🔹Roller blinds Tsh 95,000/= sqm
🔹Wooden blinds Tsh 150,000/=sqm
Instillation kwa dirisha moja ni 10000