camgas_tz

camgas_tz Wauzaji na Wasambazaji wa Gesi ya kupikia yanayotumika majumbani, hotelini n.k. FREE DELIVERY 24/7

Usiku wa tarehe 29 Aprili, 2026, CAMGAS ilitunukiwa tuzo ya BEST COOKING GAS BRAND katika hafla ya Tanzania Trading Awar...
30/04/2026

Usiku wa tarehe 29 Aprili, 2026, CAMGAS ilitunukiwa tuzo ya BEST COOKING GAS BRAND katika hafla ya Tanzania Trading Awards

Tuzo hili ni ushahidi wa fahari wa ubora wa juu wa gesi yetu ya kupikia, inayoaminika na kupendelewa kote Tanzania. CAMGAS inaendelea kuwa kigezo k**a chaguo salama na safi zaidi kwa kupikia.

Tumeshinda

CAMGAS inawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan. Katika mwezi huu wa baraka, endelea kuandaa If...
19/02/2026

CAMGAS inawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan.

Katika mwezi huu wa baraka, endelea kuandaa Iftar yako kwa urahisi, usalama na uhakika wa gesi safi kutoka Cam Gas.

Tunawatakia amani, baraka na mafanikio katika kila siku ya mfungo.

Yafanye mapishi yako yawe yenye furaha zaidi.Tumia mtungi wa CAMGAS utakaokupa uhakika kwenye mapishi yako na matumizi s...
10/02/2026

Yafanye mapishi yako yawe yenye furaha zaidi.

Tumia mtungi wa CAMGAS utakaokupa uhakika kwenye mapishi yako na matumizi salama kila siku.

Wasilina nasi: 0746 990 111

Pika kisasa kwa bajeti ndogo ukitumia CamGas.CamGas Mapishi mengi, gesi kidogo!.Wasiliana nasi 0746 990111
22/01/2026

Pika kisasa kwa bajeti ndogo ukitumia CamGas.

CamGas Mapishi mengi, gesi kidogo!.

Wasiliana nasi 0746 990111

Semina ya Nishati Safi – TemekeBaada ya Kawe, safari ya elimu ya upishi safi imeendelea Temeke!Jana tumekutana na baba &...
16/09/2025

Semina ya Nishati Safi – Temeke
Baada ya Kawe, safari ya elimu ya upishi safi imeendelea Temeke!

Jana tumekutana na baba & mama lishe wa Temeke kujadili faida za kutumia gesi ya kupikia (LPG) kwa afya, mazingira na biashara zao.

Asante kwa washiriki wote waliojitokeza pamoja na Mgeni rasmi wetu Nolasco Mlay DCC Nishati kutoka Wizara ya Nishati– pamoja tunasonga mbele kuelekea Tanzania yenye nishati safi kwa wote!

Nishati Safi ya Kupikia ndiyo Habari ya Mujiniii!

14/09/2025
12/09/2025
Ngome ya Mama INAENDELEA!Baada ya mafanikio makubwa Kawe, Kinondoni — sasa ni zamu ya Temeke!Jumatatu 15 Septemba 2025, ...
03/09/2025

Ngome ya Mama INAENDELEA!

Baada ya mafanikio makubwa Kawe, Kinondoni — sasa ni zamu ya Temeke!

Jumatatu 15 Septemba 2025, baba & mama lishe wa Temeke watakutana kwa Mashindano ya Upishi Safi yakilenga kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia (LPG) – salama, nafuu na rafiki wa mazingira.

Mashindano ya mapishi, Elimu ya upishi safi & usalama
🏆 Zawadi kabambe kwa washindi

Nishati Safi ndiyo Habari ya Mujiniii!.

 

TUMEFANIKISHA!Leo, tarehe 26 Agosti 2025, tumefanya kwa mafanikio Tamasha la Mashindano ya Upishi Safi kwa ushirikiano w...
26/08/2025

TUMEFANIKISHA!
Leo, tarehe 26 Agosti 2025, tumefanya kwa mafanikio Tamasha la Mashindano ya Upishi Safi kwa ushirikiano wa CAMGAS, Ngome ya Mama Samia, na wadau mbalimbali.

Shukrani kwa washiriki wetu Mama Lishe wa Kawe, Kinondoni, wageni wa heshima, serikali na wadau wote waliojitokeza. Tumejifunza, tumeshindana, na zaidi ya yote tumehamasika kutumia nishati safi (LPG) kwa afya, mazingira na maendeleo ya uchumi wa wanawake.

🏆 Washindi wa leo wameonyesha ubunifu mkubwa katika chapati, mandazi na bagia—lakini washindi halisi ni jamii yetu yote, inayochagua kupika kwa usalama na ufanisi.

Nishati Safi ndiyo Habari ya Mujiniii!

🔥 Mashindano makubwa ya Mapishi yatafanyika Jumanne, 26 Agosti pale Msasani Beach Club!.Yameandaliwa na Ngome ya Mama Sa...
25/08/2025

🔥 Mashindano makubwa ya Mapishi yatafanyika Jumanne, 26 Agosti pale Msasani Beach Club!.

Yameandaliwa na Ngome ya Mama Samia (NMS) kwa ushirikiano na CAM GAS, Lengo ni kuhamasisha matumizi ya Gesi safi ya LPG amabyo ni nafuu, salama, na rafiki kwa mazingira. 🌱

🗓️ Usikose tarehe 26!
📞 Jisajili sasa kwa kutuma neno “JISAJILI” kwenda ‪+255 746 990 111‬

Address

Kurasini
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when camgas_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share