Elegant Home Solutions

Elegant Home Solutions Twauza mashuka mazuri ya Uganda yani Kampala Bedsheets..... tufikie kwa no 0755207500 tunauza bei nz

02/06/2026

The place ❤️🙏🏽

Kila unayoiona hapo ipo dukani…. Na zinakaa shuka mbili foronya nne… size 8/8….

Bei zetu ni affordable na zina tofauti ya jumla na rejareja …. Jumla tunauza kuanzia pairs 5 tuuuu

Rejareja ni 90,000/- tuuuuu
The place you wanna pass by today ❤️❤️😋

Shuka zetu ni very hug quality na tunazo deaigns tofauti usisahau Egyptian Cotton pia tunazo kwa sizes zote…

Mito ipo ya aina zote as well as duvets..
Guys karibuni mtatabasam tuu😀😀👌❤️

Tupigieni kwa 0755207500 na 0712207553
Calls n WhatsApp chap tuu tutakufikia….

02/06/2026

MUNGU wa Mbinguni akukumbuk na familia yako pande zote katika jina la YESU Ameeen.

Pazia zipo aina zoteeeeee

Ukitaka kitambaa ukashone mwenyewe kwani ua utapata… Karibuni sanaaaa….
Ukitaka majora pia utapata…
All accessories zake zipo as well…


We make your house valuable
Check out kwa curtains zetu….

01/06/2026

Msikilize tuuu afu weka neno la ushuhuda…

Video credit goes to

01/06/2026

THANK YOU FATHER GOD

30/05/2026

Nimeikumbuka kwa sababu nimekutana na maswali leo k**a haya matatu dm….

Mabinti zangu msikilize hii….
Nawapenda sana…. 🥰🥰

29/05/2026

Njooni dears n let’s talk….
Hii siku nilipotoka kwenye tatizo nikasema hapana jamani watu wanawezaje!?!!!
Mbona mimi nashindwaga yani wakati akili imeumizwa siwezi kabisa kushika simu 🙌🏽🙌🏽

28/05/2026

Jamani afu bado unapata tabu ya Shuka ndogo na sisi tupo?? Shuka simu yako nipigie leo…
0755207500 give me one call na tatizo litakuwa limeishaaaaa….

Karibuni sana
Unapata size zooote za mashukaaa hadi ile kubwa zaidi ya sana zipooo…

8/8 Only Tshs 90,000/-
Size 10 only 115,000/-

28/05/2026

Eti jamani hebu tuongee tusaidiane kuelewa.
No hard Word msitukane wala msimtaje mtu unless una ushahidi ili achukuliwe sheria na mamlaka husika….

ndo wahisani wetu wa kuu wa maongezi haya….

0712207553 na 0755207500
Calls n WhatsApp

27/05/2026

Wale wa sitaki shuka yenye white miye 😂🙌🏽
📌 Haioneshi uchafu kirahisi
📌 Inafaa kwa mapambo ya chumba chochote
📌 Laini kwa ngozi na inaleta usingizi mtamu
📌Inafanya kitanda chako kionekane cha gharama kubwa

👌📌Ukishalala kwenye hii shuka, utaelewa tofauti ya kulala kawaida na kulala kwa comfort halisi kutoka

Piga namba 0755207500 au whatsapp

Tshs 90,000/- tuuuuu

27/05/2026

But Why Baba mchungaji 😂😂😂

Hii si shuka ya kawaida… ni utulivu wa moyo baada ya siku ndefu na kazi zilizokuchosha.

Draft zake ndogondogo zinakupa muonekano wa classy, safi na wa kisasa bila kuchosha macho hapotunazingatia afya ya macho..

Kitanda chako kinaonekana nadhifu muda wote, na chumba kinapata mvuto wa kipekee kila unapokitazama 😍 bado tuu hauji??! Hebu fanya chap aiseeee…

0755207500 calls n WhatsApp
90,000/- tyuuuu

✔️ Haioneshi uchafu kirahisi
✔️ Inafaa kwa mapambo ya chumba chochote

Address

Mbezi Goba
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elegant Home Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category