10/05/2026
Phase three finishing Tayari tunaendelea nayo Hapa kwenye nyumba ya mdau wetu alie tuamini sisi Kavanga Fundi Umeme Kwa kutupa dhamana hii ya mifumo ya umeme madhubuti katika nyumba yake hii . Tuwe pamoja Hadi mwisho
Kwa ushauri na huduma
0678 85 45 85 Whatsapp &call
0785 04 84 38. Call & text