JIKO La Alitop

JIKO La Alitop Jiko la oven plate 3 gesi 1 umeme oven gesi

12/12/2023

EMS Foot Massager ni kifaa kilichotengenezwa na teknlogia ya kisasa, kinachosaidia kuchochea misuli kwenye miguu na kutoa massage yenye manufaa kwa afya ya miguu.

Bei 65,000

0757101625

Kifaa hiki kinasaidia
• kupunguza maumivu,
• kuimarisha misuli,
• kuboresha mtiririko wa damu,
• kuondoa miguu kuwaka moto
• Miguu kufa ganzi
• Miguu kujaa na
• kusaidia kupumzisha misuli ili kuondoa msongo wa miguu na kusaidia kupata usingizi.

Kifaa hchi ni husaidia makundi mbali mbali ikiwemo:
• Watu wanaotumia mda mrefu Kusimama au Kukaa
• Watu wenye matatizo ya miguu k**a plantar fasciitis, soreness, neuropathy, or poor circulation na mengineyo
• Watu wa Mazoezi
• Watu wanaosafiri
• Watu wanaojali afya zao na kutaka kurelax baada ya mda mrefu wa kazi

Hairuhusiwi kwa
• Wanawake wajawazito au wananyonyesha
• Watu wenye vidonda vibichi kwenye miguu
• Watu wenye upasuaji wa hivi karibuni kwenye miguu yao

Matumizi
• Weka massager kwenye sehemu inayofaa k**a sakafu.
• Weka miguu yako kwenye massager juu ya maeneo y

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255757101625

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JIKO La Alitop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share