Poshy Homes

Poshy Homes We Turn Your House Into Home We Sell Decors,kitchen Essentials And Bedroom Items.οΏ½0742617538

11/09/2023

π‡π„π‹π‹πŽ!ππŽπ’π’ 𝐉𝐄 𝐔𝐍𝐀𝐏𝐄𝐍𝐃𝐀 πŠπ”π“π”πŒπˆπ€ π•πˆπ“π” π•πˆπ™π”π‘πˆ 𝐍𝐀 π”ππˆππ”π„ πŠπ€πŒπ€ π‡πˆπ•πˆ?
Yes This Cups Are Very Unique,Kuanzia Muonekano,Uzuri Wa Rangi,Material Yake,Decoration Yake Iko Cool Very Fashionable And Elegance.

Imagine Kikombe Kina Mfuniko Wake So Hupati Tabu Ya Kufunika Kinywaji Chako Kwaajiri Ya Kuzuia Wadudu Au UchafuπŸ‘ŒπŸ‘Œ
Pia Kikombe Kina Kijiko Chake Ambacho Kitarahisisha Matumizi,K**a Utakua Huna Kijiko Cha Kawaida Kwa Mda Huo.

Its Good To Use At Home,To The Office,Au Unaweza Kutembea Nacho Sababu Kina Mvuto Kimapambo Na Uniqueness Yake Haiboi Kutazama.

Kikombe Kimoja Ni Tsh 15,000 Full Box K**a Utataka Kupeleka Zawadi Kwa Mtu...

Vikombe Vilikua Vingi Na Watu Wamevipenda Sana Hivyo Kwa Sasa Vimebaki Vichache Na Hivi Ni Kwaajiri Yako Boss Wangu,Hakuna Mkoa Ambao Hatutumi Wewe Tupe Tu Location Mzigo Wako Utafika Kwa Wakati.

Kwasasa Tunatumia Hizi Namba Kwaajiri Ya Kupokea Order Tafadhali Usitumie Namba Zingine Zaidi Ya Hizo Hapo Chini,Duka Lipo Kibada Kigamboni Dar es Salaam.

Kumbuka Hivi Vikombe Vipo Kwetu Tu Mtu Mwingine Asikudanganye Atakuuzia Fake,Piga Simu Au Tuma Ujumbe Wasap Kutoa Oder K**a Unataka Kununua Kwa Jumla Au Rejareja.

☎️0742617538

Address

Kibada Kigamboni
Dar Es Salaam

Telephone

+255742617538

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Poshy Homes posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category