17/04/2023
Hii ni video ya ngoma ya asili ya Wafipa kutoka mkoani Rukwa ikichezwa na wanafunzi wa shule ya msingi Mbuluma Kalambo
Viedo kwa hisani ya Youtube DESIGNER - Tz
Unaweza kutumia video au audio ya kabila lako au kabila lolote unalolifahamu, iwapo utakuwa unafahamu simulizi yoyote nzuri kuhusu kabila hilo basi tuandikie au tutumie sauti yako ukitusimulia. Tuma kwa namba 0753001297 Usisahau kutuambia jina lako na unakotokea.
Lengo nikuendeleza na kukuza tamaduni za nzui sa kisanaa za makabila yetu.