mosquito_net_bn_online_decor

mosquito_net_bn_online_decor Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mosquito_net_bn_online_decor, Home decor, Dar es Salaam.

11/02/2026

Tatuwa kero ya juwa kali na kumaliza kabisa juwa linalo kuchoma na kukumiza shida ya mwanga mkali unaongia ofisini kwako na kushindwa kufanya kazi yako kwa ufanisi;

Zebra blinds curtains ni pazia nzuri na zakisasa zinazo pendezesha ofisi yako na kuifanya iwe na mwonekano mpya pia ni rahisi mno Kwa mtumiaji aina ugumu kabisa

Square meter moja ni sh. 80,000/=



11/02/2026

Vertical bliands curtains

Pazia nzuri sana na zinauwezo wa kuzuiya juwa

Square meter moja Tsh.40,000/=



11/02/2026

Venation bliands curtains

Pazia hizi ni nzuri ukifunga sehemu k**a zifuatazo 👇

✅ Kitchen
✅ Bathroom {toilet}
✅ Restaurant
✅ N.k

✨ Square meter moja sh.60,000/=

Karibu sana wateja wetu tuwahudumie



10/02/2026

Umewaza sana mda mrefu ni wapi utapata pazia zenye ubora unao witaji, pazia ambazo zitaendana na madhari ya nyumba yako. Sasa ondowa shaka na masumbuko, usiangaike tena umepata sehemu sahihi siyo pengine ni , watahalam na watengenezaji wa pazia za ofisini manyumbani na mahotelini. Pia tunao mafundi wabobezi wenye uzoefu na maswala yote yahusiyanayo na decoration {curtains}.

Pazia zetu ni zakushona pia unazipata kwa mita 1 kuanzia 👉. Tsh.

Tsh. 18,000/=

Tsh. 20,000/=

Tsh. 25,000/=

& Tsh. 30,000/=

Bei zetu zipo kulingana na quality ya material ya vitambaa vya pazia zetu. Karibuni sana wateja tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey na sikukuu. Kwa mawasiliano tupigie simu 👇

🤙📞 0716706816 au Whatsapp chat

💚 0766637538



10/02/2026
10/02/2026

Towa order yako Sasa tupo teyari kukuhudumia.

Sisi tunazo pazia nzuri kwa maitaji na mwonekano mzuri wa ofisi yako.

Pazia zetu hizi aina ya zebra bliands curtains unazipata kwa sqm 1 Tsh. 75,000/=



09/02/2026

Pata pazia nzuri rangi za kitajiri material ni quality pia tunazo bomba za pazia pamoja na rell za pazia. Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey na sikukuu, pia tunafika site kwa uwakika wa vipimo vya madirisha ya nyumba yako ni pamoja na kumshauri mteja rangi za pazia zitakazo endana na rangi za Kuta za nyumba yako. Pia bomba gani za pazia zitumike au rell ndiyo zitumike. Karibuni sana wateja, kwetu sisi mteja ni mfalme 👑🫅.



Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mosquito_net_bn_online_decor posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category