26/12/2025
Hello dear followers and supporters of our Instagram page, we are proud to share you this short video showing one of our music students who got a chance to perform or play an organ during Christmas mass at his home parish. We are indeed proud of him and in our work.
(The video was sent to us by his parent)
Habari ndugu watazamaji na wafuatilia wa ukurasa wetu wa Instagram, tunayofuraha kuwaonesha video fupi ya mmoja wa wanafunzi wetu ambae amepata nafasi ya kucheza kinanda katika Misa ya krismas katika parokia moja huko nyumbani kwao, tupo na furaha na tunajivunia hatua hii aliyopiga na kazi yetu ya kufundisha muziki kwa ujumla.
(Video hii imetumwa kwetu na mzazi wake.
Merry Christmas to you all once again
Heri ya sikukuu ya Christmas kwenu nyote kwa Nara nyingine.