02/11/2026
Unapenda Red Velvet cake lakini bado hujui recipe nzuri ya kutumia?
Basi nimekuandalia darasa maalum kabisa la RED VELVET CAKE😍
Darasa litaanza tarehe 7/9 na kwenye package utajifunza:
1. Red Velvet recipes 2 — zote video na notes
2. Rojo la ice cream, tamu balaa la kumwagia juu ya Red Velvet 🤤
3. Cream cheese frosting ya kupambia
4. Namna ya kuandaa whipping cream ya kupambia
5. Namna ya kupanga bei ya Red Velvet cake yako ili usiuze kwa hasara 💰
Na hii yote ni 10,000/= tu badala ya 20,000/= 😍🔥
Njia ya malipo👇🏽
Eliza Cakes TZ
18208753 – Mixx by Yas
AU
36750127 – Elizabeth Niwagila
Vodacom
Ukishalipia nitumie uthibitisho wa muamala inbox ❤️
Karibuni sana dears 🥰
Tujifunze pamoja na Eliza Cakes TZ ❤️