19/05/2026
TUNAUZA MASHINE YA KUKUNA N**I (COCONUT GRATER MACHINE)
Simu: +255 762909120(WhatsApp)
Mashine ya kukuna n**i ni kifaa kinachorahisisha kukuna n**i kwa haraka na usafi kwa matumizi ya nyumbani na biashara
SIFA ZA BIDHAA:
✔ Nguvu ya umeme (Electric powered)
✔ Hukuna n**i kwa haraka na kwa ufanisi
✔ Rahisi kutumia na kusafisha
✔ Inadumu na ni imara
MATUMIZI:
✔ Kukuna n**i kwa ajili ya kupikia
✔ Biashara ya vyakula (hotel, mgahawa)
✔ Usindikaji wa n**i kwa wingi
✔ Matumizi ya nyumbani
FAIDA:
✔ Huokoa muda na nguvu kazi
✔ Hutoa n**i iliyokunwa kwa haraka
✔ Huongeza uzalishaji kwa biashara
✔ Inafaa kwa matumizi ya kila siku
TUNAPATIKANA
1. Wazohill - Dar es Salaam
Tegeta Wazohill Barabara ya Wazo.
2. Bagamoyo - Pwani
Kiromo shule, Bagamoyo
SIMU:
+255 762909120 (WhatsApp)
**imachine kilimotz biasharatanzania tanzania