Neogen Machinery

Neogen Machinery TUNAUZA MASHINE MBALIMBALI ZINAZOHUSIANA NA KILIMO PAMOJA NA UFUGAJI.

TUNAUZA MASHINE YA KUKUNA N**I (COCONUT GRATER MACHINE)Simu: +255 762909120(WhatsApp)  Mashine ya kukuna n**i ni kifaa k...
19/05/2026

TUNAUZA MASHINE YA KUKUNA N**I (COCONUT GRATER MACHINE)

Simu: +255 762909120(WhatsApp)



Mashine ya kukuna n**i ni kifaa kinachorahisisha kukuna n**i kwa haraka na usafi kwa matumizi ya nyumbani na biashara

SIFA ZA BIDHAA:
✔ Nguvu ya umeme (Electric powered)
✔ Hukuna n**i kwa haraka na kwa ufanisi
✔ Rahisi kutumia na kusafisha
✔ Inadumu na ni imara

MATUMIZI:
✔ Kukuna n**i kwa ajili ya kupikia
✔ Biashara ya vyakula (hotel, mgahawa)
✔ Usindikaji wa n**i kwa wingi
✔ Matumizi ya nyumbani

FAIDA:
✔ Huokoa muda na nguvu kazi
✔ Hutoa n**i iliyokunwa kwa haraka
✔ Huongeza uzalishaji kwa biashara
✔ Inafaa kwa matumizi ya kila siku

TUNAPATIKANA

1. Wazohill - Dar es Salaam
Tegeta Wazohill Barabara ya Wazo.

2. Bagamoyo - Pwani
Kiromo shule, Bagamoyo

SIMU:
+255 762909120 (WhatsApp)

**imachine kilimotz biasharatanzania tanzania

19/05/2026

TUNAUZA MARINE PUMP | PAMPU ZA MAJI ZENYE NGUVU 💧

SIMU:
+255 762909120(WhatsApp)



Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

tunauza Marine Pump imara na yenye uwezo mkubwa wa kusukuma maji kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani, kilimo na biashara.

SIZE NA BEI:
• 0.5HP = Tsh 220,000/=
• 1HP = Tsh 255,000/=
• 1.5HP = Tsh 270,000/=

SIFA ZA PAMPU
• Pressure nzuri ya maji
• Matumizi madogo ya umeme
• Imara na ya kudumu
• Rahisi kutumia
• Inafaa kwa matumizi ya muda mrefu

INAFAA KWA:
• Umwagiliaji wa mashamba
• Kusukuma maji majumbani
• Greenhouse
• Matumizi ya biashara na viwanda vidogo

FAIDA ZA KUTUMIA
• Huongeza ufanisi wa usambazaji maji
• Huokoa muda wa kazi
• Inafanya kazi kwa nguvu kubwa
• Inadumu muda mrefu

HUDUMA ZETU
• Tunatuma mizigo mikoa yote Tanzania
• Ushauri wa kitaalamu bure
• Vifaa vyenye ubora wa juu

TUNAPATIKANA

1. Wazohill - Dar es Salaam
Tegeta Wazohill Barabara ya Wazo.

2. Bagamoyo - Pwani
Kiromo Shule.

kilimochakisasa greenhouse kilimo agribusiness tanzania biasharatanzania

19/05/2026

TUNAUZA MASHINE YA KUKAMULIA MAFUTA YA ALIZETI, UFUTA, KARANGA NA MBEGU MBALIMBALI | OIL PRESSING MACHINE

SIMU:
+255 762909120(WhatsApp)



Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

BEI ZA MASHINE

COMMON TYPE 1
Model N95A – 5 Tone/Day = 6,500,000/=
Model N105A – 8–9 Tone/Day = 7,500,000/=

COMMON TYPE 2
Model N100 = 15,000,000/=
Model N120 = 18,000,000/=

GOLD TYPE COMBINE
Model N95 = 19,000,000/=
Model N120 = 24,000,000/=

COMBINED OIL PRESSING MACHINE

Mashine hii ni maalum kwa kukamua mafuta kutoka kwenye mbegu mbalimbali k**a:
Alizeti
Ufuta
Karanga
Mbegu za maboga
Mlonge na nyingine nyingi

SIFA ZA MASHINE
Ni hot press machine
Inatumia vacuum filtration system
Harufu ya mafuta inapungua sana
Imeunganishwa na filters kabisa
Uzalishaji mkubwa kwa muda mfupi
Imara na rahisi kutumia

FAIDA ZA KUTUMIA
Unaweza kuanzisha kiwanda chako cha mafuta
Huongeza uzalishaji wa mafuta kwa haraka
Hutoa mafuta safi yenye ubora mkubwa
Huokoa muda na nguvu kazi
Inafaa kwa biashara kubwa na za kati

KWA NINI UCHAGUE HII MASHINE
Mashine kubwa yenye uwezo mkubwa
Performance ya uhakika
Inafaa kwa matumizi ya muda mrefu
Suluhisho bora kwa biashara ya mafuta

HUDUMA ZETU
Tunatuma mizigo mikoa yote Tanzania
Ushauri wa kitaalamu bure
Mashine zenye ubora wa juu

TUNAPATIKANA

1. Wazohill - Dar es Salaam
Tegeta Wazohill Barabara ya Wazo.

2. Bagamoyo - Pwani
Kiromo shule, Bagamoyo .
SIMU:
+255 762909120 (WhatsApp)

oilpressingmachine mashineyakukamuaalizeti su

19/05/2026

INCUBATOR | MASHINE ZA KUTOTOLESHEA MAYAI | MASHINE ZA KUANGULIA VIFARANGA

Call/Text/WhatsApp: +255 762909120

Ofa free Drinker free Feeder

Muda wa kazi: 07:00am Asubuhi - 11:00pm Usiku

Zipo mashine zinazotumia umeme, solar na betry (16 - 112 eggs incubator) - vyote kwa pamoja.

Hizi incubator tunaagiza CHINA, zina ubora tofauti na incubator za kutengeneza.

Za kutengeneza wanatumia MBAO AU MALINYI BODI ambazo zikipata unyevu au maji maji zinaaribika na kuoza.

BEI ZA INCUBATOR | BEI MPYA ZA INCUBATOR

PLASTIC INCUBATOR
Model One (NO trending on)
1. Mashine ya mayai 50 = 200,000/=
2. Mashine ya mayai 64 = 300,000/=
3. Mashine ya mayai 128 = 350,000/=

Model Two (Pale Blue) - New model
1. Mashine ya mayai 30 = 180,000/=
2. Mashine ya mayai 50 = 250,000/=
3. Mashine ya mayai 64 = 350,000/=
4. Mashine ya mayai 128 = 400,000/=

BODY INCUBATOR
05. Mashine ya mayai 120 Bei: 650,000/=
06. Mashine ya mayai 176 Bei: 780,000/=
07. Mashine ya mayai 264 Bei: 980,000/=
08.Mashine ya mayai 352 Bei: 1,100,000Tsh
09.Mashine ya mayai 440 Bei: 1,300,000/=
10. Mashine ya mayai 528 Bei: 1,500,000/=
11. Mashine ya mayai 1,056 Bei: 1,800,000/=
12. Machine ya mayai 1,584 Bei: 2,300,000/=
13. Machine ya mayai 2,112 Bei 2,700,000/=
14. Mashine ya mayai 3,168 Bei: 3,700,000/=
15. Mashine ya mayai 4,224 Bei: 4,300,000/=
16. Mashine ya mayai 5,280 Bei: 4,900,000/=
17. Mashine ya mayai 10,000 Bei: 13,500,000/=

Pia tunauza spear / Vifaa vya kutengenezea incubator:- Tray, Controller, Limit switch, Baskect tray, Motor, Heater tube, Humidity tube, Humidifier n.k

mashinezakutotoleshavifarangawakuku mayaiyakutotolesha mashinezakutotoleshea

Office zetu zipo .

joackcompany mifugo kilimo mifugotz incubator Vifaranga kutotolesha kuku kukuwanyama kukuchotara broiler dodoma tanzania🇹🇿 tanzania k

19/05/2026

TUNAUZA WATER PUMP KWA BEI YA OFA!

📞 +255 762909120

📍 Tegeta – Dar es Salaam

+255762909120

💧 Water Pump zenye nguvu na ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya kilimo na biashara!

BEI ZA OFA:
🔹 2 Inch – 300,000 Tsh
🔹 3 Inch – 320,000 Tsh
🔹 4 Inch – 650,000 Tsh



✅ Faida za Water Pump zetu:

Ni imara na zinadumu muda mrefu

Zinapiga maji kwa kasi na ufanisi mkubwa

Zinafaa kwa wakulima, wafugaji na matumizi ya nyumbani

Husaidia kupunguza muda na nguvu kazi katika umwagiliaji

tunauza water pump za ukubwa tofauti kulingana na mahitaji yako.

kilimobiashara mkulimasolution mkulima_solution Tanzania🇹🇿 DarEsSalaam Bagamoyo

DAR ES SALAAM

19/05/2026

TUNAUZA (MOTORS) AINA ZOTE | KWA KAZI NZITO ZA KILIMO NA VIWANDA ⚙️⚡
+255762909120

✅ Three Phase
✅ Single Phase
✅ PURE COPPER (Original)
✅ ZINAKUJA NA PULLEY

• 1 HP
• 2 HP
• 3 HP
• 5 HP
• 7.5 HP
• 10 HP
• 15 HP
• 20 HP
• 30 HP
• 50 HP

📞 Call / WhatsApp: +255 658 375 861
📲 Instagram:
🕖 Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am – 11:00pm)
📍 Ofisi: Kariakoo – Dar es Salaam



MASHINE (MOTORS) zetu zinafaa kwa matumizi mbalimbali ikiwemo:
🔹 Kusaga nafaka (mahindi, mpunga n.k)
🔹 Pampu za maji
🔹 Mashine za viwandani
🔹 Kilimo na miradi ya uzalishaji

🔧 Sifa Kuu:

✔️ Zenye nguvu na uimara wa hali ya juu
✔️ Copper halisi – matumizi madogo ya umeme
✔️ Inafaa kwa kazi endelevu (heavy duty)
✔️ Zinapatikana kwa ukubwa na uwezo tofauti (HP mbalimbalI.

purecopper mashinezakilimo viwanda mkulimasolution tanzania kilimokwanateknolojia

| DAR ES SALAAM

19/05/2026

TUNAUZA MASHINE YA KUKAMULIA MAFUTA ALIZETI, UFUTA, KARANGA, NK| OIL PRESSING MACHINEʻ

BEI

1. Mashine ndogo ya kukamua mafuta ya nyumbani ni 600,000/=

2. MASHINE NAMBA 95 BEI NI 22,000,000/= Uwezo tani 3.5 kwa siku.

3. MASHINE NAMBA 120 BEI NI 27,000,000/= Uwezo tani 6.5 kwa siku

4. MASHINE NAMBA 140 BEI NI 32,000,000/=



Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo

COMBINED OIL PRESSING MACHINE.

Mashine ya kukamua mafuta kutoka kwenye mbegu za mafuta mbalimbali k**a vile Alizeti, siseme, Karanga, mbegu za maboga, Mlonje n.k.

Hii ni hot press na inatumia vacuum filtration system na harufu inapungua saanaa.

Imeunganishwa Na filters kabisa.

Temperature scale 0-250 Centigrade

Production Capacity 300kg

Kwa kutumia hizi mashine utaweza kukamua alizeti ili kupata mafuta, ukiwa na mashine hii ni kiwanda tosha, maana unaweza kukamua alizeti na kutengeneza mafuta na kuuza.

Hii mashine ni kubwa, tofauti na mashine nyingine ndogo, hivyo unaweza kutengeneza mafuta ya kutosha kwa masaa machache.

kwa wateja wa mikoani mnatumiwa hii mashine kwa gharama nafuu sana.

mashineyakukamuaalizeti oilpressingmachine mashineyakilimo mashine alizeti kilimochaalizeti sunfloweroilpressingmachine mashinezaalizeti mashinezakukamuaalizeti mashinezakukamuamafuta

Office zetu zipo .

Simu:
+255 762909120

daresalaam tanzania kilimo mifugo mbolea mbegu mbeguyaalizeti mashuduyaalizeti kiwandachaalizeti tanzania🇹🇿 manyara singida tanzania serengeti dodoma

DSM & Bagamoyo

19/05/2026

TUNAUZA MASHINE YA KUSAGA VITU VIKAVU | DRY GRINDING MACHINE

SIMU:
+255 762909120 (WhatsApp)

Mashine ya kusaga vitu vikavu ni suluhisho bora kwa kusaga nafaka, viungo, chakula cha mifugo na bidhaa nyingine za ukavu kwa haraka na ufanisi mkubwa.

INAFAA KUSAGA:
Mahindi
Mpunga
Pumba
Pilipili kavu
Karanga
Viungo mbalimbali
Chakula cha mifugo

SIFA ZA MASHINE
Motor yenye nguvu kubwa
Usagaji wa haraka na laini
Imara na rahisi kutumia
Matumizi madogo ya umeme au mafuta kulingana na model

FAIDA ZA KUTUMIA
Huongeza kasi ya uzalishaji
Huokoa muda na nguvu kazi
Hutoa unga wenye ubora mzuri
Inafaa kwa biashara na matumizi ya nyumbani

HUDUMA ZETU
Tunatuma mizigo mikoa yote Tanzania
Ushauri wa kitaalamu bure
Mashine zenye ubora wa juu

TUNAPATIKANA

1. Wazohill - Dar es Salaam
Tegeta Wazohill .

2. Bagamoyo - Pwani


kilimo wakulima agribusiness mashinezakilimo biasharatanzania tanzania processingmachine kilimobiashara

19/05/2026

TUNAUZA PEANUT BUTTER MACHINE – 15KG

📞 +255 763909120
🕖 Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

📍 Tegeta Dar es Salaam



PEANUT BUTTER MACHINE (15KG) ni mashine maalum kwa kusaga karanga na kutengeneza peanut butter laini, safi na yenye ubora wa hali ya juu. Inafaa kwa:

🥜 Watengenezaji wa peanut butter
🍯 Biashara ndogo na za kati
🏪 Supermarket & grocery
🌽 Viwanda vidogo vya usindikaji

Mashine hii ina uwezo wa kusaga hadi kilo 15 kwa wakati mmoja, imetengenezwa kwa stainless steel na ni rahisi kusafisha.



Faida za Peanut Butter Machine – 15kg:

✅ Inasaga haraka na kwa ubora wa juu
✅ Inatoa peanut butter laini bila mabonge
✅ Ina motor imara na salama
✅ Inafaa kwa matumizi ya muda mrefu
✅ Inafaa kwa biashara ya usindikaji wa chakula

tunauza mashine hizi bora kabisa na zenye viwango vya juu.

📍 Tembelea ofisi yetu Tegeta – Dar es Salaam au wasiliana nasi moja kwa moja:

📞 Call/WhatsApp: +255762909120



foodprocessing tanzania dar agriculture smallbusiness

DAR ES SALAAM

19/05/2026

TUNAUZA MASHINE YA KUKOBOA MPUNGA | RICE MILLING MACHINE

SIMU:
+255 762909120

Mashine ya kukoboa mpunga ni suluhisho bora kwa usindikaji wa mpunga kwa haraka na ufanisi mkubwa.

Mashine hii:
Inakoboa mpunga
Inapepeta mchele
Ina-grade mchele kwa ubora mzuri

INAFAA KWA:
Biashara za mpunga na mchele
Wakulima
Rice mills
Usindikaji wa nafaka

SIFA ZA MASHINE
Uzalishaji mkubwa kwa muda mfupi
Imara na ya kudumu
Rahisi kutumia
Performance kubwa ya kazi
Huongeza ubora wa mchele

FAIDA ZA KUTUMIA
Huokoa muda na nguvu kazi
Huongeza thamani ya mchele
Hupunguza upotevu wa mazao
Huongeza faida kwenye biashara yako

HUDUMA ZETU
Tunatuma mizigo mikoa yote Tanzania
Ushauri wa kitaalamu bure
Mashine zenye ubora wa juu

TUNAPATIKANA

1. Wazohill - Dar es Salaam
Tegeta Wazohill Barabara ya Wazo,

2. Bagamoyo - Pwani
Kiromo shule, Bagamoyo

SIMU:
+255 762909120 (WhatsApp)

riceprocessing nafaka kilimo agribusiness tanzania biasharatanzania

Address

Tegeta Wazohill-Dar
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neogen Machinery posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share