04/06/2026
🍟🔥 MOULINEX DEEP FRYERS 🔥🍟
Furahia vyakula vya kukaanga vyenye rangi nzuri, crispy na ladha ya kipekee kwa kutumia Moulinex Deep Fryers – mchanganyiko wa ubora, urahisi na performance ya hali ya juu.
✔ Hupasha mafuta joto kwa haraka kwa matokeo bora ya kukaanga
✔ Uwezo mkubwa kwa maandalizi ya familia nzima
✔ Temperature control kwa kupika kwa usahihi
✔ Rahisi kutumia na kusafisha
✔ Muundo imara na wa kisasa
✔ Perfect kwa chips, kuku, samaki, sambusa na vyakula vingine vya kukaanga
🍗🥔 Pata matokeo ya kitaalamu nyumbani kwako na ufurahie chakula kitamu kila wakati.
✨ Moulinex – ubora unaoaminika kwa kila upishi.
📍Corner of Olympio and Bibi T**i Mohammed Road
📍Corner of Mosque and Mshihiri Street
💰 Installment (Kulipa kidogo kidigo) available.
deepfrayer