ikeda companytz

ikeda companytz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ikeda companytz, Home decor, sinza, Dar es Salaam.

27/05/2026
Michango iliyotumwa Jana katika siku yakwanza ya Kampeni yetu ya Tunasimama na Upendo Rehabilitation center Leo ni siku ...
06/05/2026

Michango iliyotumwa Jana katika siku yakwanza ya Kampeni yetu ya Tunasimama na Upendo Rehabilitation center

Leo ni siku mpya na namna yakushiriki ni ileile tuma kiasi chako kuanzia shilingi 1000 then tutumie screenshot ya muamala DM ama paste yake hapa comment section ili kuitumia K**a motivation kwa wengine

Either Kwa watu wenye uwezo Zaid naomba ntusaidie mahitaji yafuatayo

Rasmi Leo tumeanza Kampeni ya Uchangiaji wa mahitaji kwaajili yakusapoti jitihada njema zilizoanzishwa na Taasisi ya  ka...
05/05/2026

Rasmi Leo tumeanza Kampeni ya Uchangiaji wa mahitaji kwaajili yakusapoti jitihada njema zilizoanzishwa na Taasisi ya katika kuwalea watoto wanaopitia changamoto katika ukuwaji wao kiakili na kimwili

Yafuatayo ni mahitaji yao Kwa ujumla

DAR MAHITAJI UPENDO REHABILITATION CENTER
Fridge (Kwaajili ya kuhifadhi matunda, chakula kitakachobaki kwa matumizi ya Siku zinazofuata)
Machine ya kufulia Nguo
Carpet za nyasi Kwaajili ya kukalia watoto sehemu za michezo (ur 15m na up 7m)
Magodoro 3/6
Vitanda. 3/6


Mchele
Maharage.
Sukari
Mafuta ya kupikia
Maziwa (fresh,unga)
Unga wa rishe.
Mayai
Baby wipes
Pampers
Tissue
Toilet paper
Sabuni ya kusafishia choo
Aro
SABUNI za kuogea
Dawa ya meno
Nguo

Kwa mawasiliano zaid tutafute 0619079164


nishikemkono

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ikeda companytz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category