13/03/2026
Sisi huku Selah kitchen tunakula nyama ndizi😘😘
📌 Tunapika kwenye vikao vyote vya ofisi kuanzia watu 15
📌Tunapika kwenye shughuli zote za kijamii k**a harusi, sendoff, kipaimara, ubarikio, communio, bridal/baby shower, birthday, arobaini nk.
📌Tunaandaa lunch box kwa ajili ya safari na picnic
📍Tupo Dodoma mjini, Sechelela street, Tambukareli jirani na Rafiki hotel
📞0755853035
#2026