Kinka Computer

Kinka Computer UKURASA MAALUMU UNAOTOA TAARIFA, MATUKIO NA HUDUMA ZA (KiNKA)
JIUNGE NASI ILI UPATE TAARIFA ZAID.

Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! 🌍✨Mashine ya kazi kweliβ€”ipo fasta, imara na inafany...
24/04/2026

Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! 🌍✨
Mashine ya kazi kweliβ€”ipo fasta, imara na inafanya kazi zako zote bila kusuasua πŸ’Ž

πŸ’» Jipatie Computer Complete:
πŸ”Ή HP Z210
πŸ”Ή HDD 500GB
πŸ”Ή RAM 4GB
πŸ”Ή Monitor 24”
πŸ”Ή Keyboard & Mouse

πŸ’° Bei ni nafuu sana + unapata punguzo la kipekee 🎁

πŸš€ Inafaa kwa:
βœ” Ofisini
βœ” Biashara (Cyber, Library, Studio, Printing, nk)
βœ” Matumizi ya nyumbani na masomo

πŸ–Ό BONUS:
Pata mabango HD tayari yameandaliwa kabisa β€” unafika unachagua, hakuna kusubiri foleni!

πŸ“² Wahi mapema uwe wa kwanza kupata ofa hii kabla hazijaisha!

πŸŒ…βœ¨ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! βœ¨πŸŒ…Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa...
05/04/2026

πŸŒ…βœ¨ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! βœ¨πŸŒ…

Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa Yesu Kristo katika Sikukuu ya Pasaka.

Katika kipindi hiki cha tumaini jipya, tunawatakia wateja wetu na familia zenu:
🀍 Amani ya kweli
🀍 Upendo wa dhati
🀍 Mafanikio mapya

Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. Tutaendelea kuwahudumia kwa uaminifu na ubora wa hali ya juu.

Heri ya Pasaka! πŸ™βœ¨



K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya 🀫, tafakari πŸ•―οΈ, na shukrani πŸ™.Tunapenda kukuk...
04/04/2026

K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya 🀫, tafakari πŸ•―οΈ, na shukrani πŸ™.

Tunapenda kukukaribisha kwenye duka letu ili tukuhudumie mteja wetu mpendwa πŸ’–. ⁣⁣⁣⁣

Hapa dukani kwetu, kuna bidhaa mbalimbali zinazokidhi mahitaji yako, k**a vile:
Kompyuta Mpya πŸ’»
Hard Disk Original πŸ’Ύ
Mabango HD πŸ–ΌοΈ n.k.

Tunafuraha kukujulisha kuwa kesho na kesho kutwa tutakuwa na offa maalum ya punguzo la bei πŸ’°, k**a shukrani na sadaka kwa wewe, mteja wetu wa thamani 🌟.

Pamoja tuko nawe, tena na tena 🀝✨

K**a ilivyo desturi yetu, tunaendelea kujitahidi kuboresha maisha ya wateja wetu kwa kuwaletea huduma bunifu na zenye ti...
01/04/2026

K**a ilivyo desturi yetu, tunaendelea kujitahidi kuboresha maisha ya wateja wetu kwa kuwaletea huduma bunifu na zenye tija πŸ’Όβœ¨

Leo tunajivunia kumtambulisha Mteja wetu wa nguvu __________ kutoka Nyehunge πŸ‘πŸ”₯

Alianza safari yake kwa kuwekeza kidogo kidogo kupitia mfumo wetu wa HABA & HABA πŸ’°βž‘οΈπŸ’»
Na hatimaye leo amefikia lengo lake na kuchukua Computer Complete kwa bei elekezi maalum kutoka kwa Mr. Bei Kitonga ya Tsh 350,000 tu πŸ₯³

Sio hivyo tu!
Pia ametuchangia HDD 3TB kwa bei ya punguzo πŸŽ‰πŸ’Ύ

Hongera sana kwa uamuzi sahihi na uwekezaji wenye tija! πŸ‘

Na wewe pia karibu ujiunge nasi 🀝

Endelea kuwa mwanafamilia wetu, ujifunze kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji kupitia huduma zetu pamoja na mbinu rahisi na salama za kuongeza mtaji wako πŸ“ˆ

πŸ“² Tufollow kwenye mitandao ya kijamii:

πŸ€™ 0764611871




πŸ–₯️ πŸ”₯ Hauhitajiki uwe tajiri sana ndipo umiliki mali safi k**a HP Z210! πŸ”₯πŸ–₯️ Kwa gharama ya Kitanzania kabisa, leo unaweza...
30/03/2026

πŸ–₯️ πŸ”₯ Hauhitajiki uwe tajiri sana ndipo umiliki mali safi k**a HP Z210! πŸ”₯πŸ–₯️

Kwa gharama ya Kitanzania kabisa, leo unaweza kumiliki CPU yenye uwezo mkubwa na mwonekano wa kipekee β€” inayokidhi mahitaji ya ofisi, biashara na matumizi binafsi.

✨ SIFA ZAKE:
πŸ“Œ Umbo kubwa na imara
πŸ“Œ Nafasi za kutosha za kuweka Disc
πŸ“Œ Kasi kali (Speed ya uhakika)
πŸ“Œ Inakuja na HDD 500GB
πŸ“Œ Muonekano wa kipekee na wa kuvutia
πŸ“Œ Inapendwa sana kwa kazi za Ofisini na Mtandaoni

βœ… Chaguo sahihi kwa wanaotaka ubora kwa bei nafuu.

πŸ“ž Miliki yako sasa: 0764 611 871
πŸ’° Kwa kulipia kidogo kidogo kupitia Mfumo wa HABA na HABA

πŸ“ Tupo Stand ya Kasota – Geita
πŸš› Mikoani tunatuma

Usikose nafasi hii! πŸ”₯

Wahenga hawakukosea kusema:"Hatua moja huanzisha hatua nyingine."Tunakushukuru sana kwa kuturuhusu tuwe sehemu ya safari...
27/03/2026

Wahenga hawakukosea kusema:
"Hatua moja huanzisha hatua nyingine."

Tunakushukuru sana kwa kuturuhusu tuwe sehemu ya safari ya mafanikio yako πŸ™Œ

πŸ“Œ Asante sana mteja wetu wa nguvu (...........) kutoka Nyawilimilwa kwa kutuamini na kununua kifaa chako πŸ‘πŸ”₯

πŸ–₯ SPECIFICATIONS ZA KIFAA:
βœ… CPU: HP
βœ… Intel Core i5 – 3.10GHz
βœ… RAM: 4GB
βœ… Storage: 500GB
βœ… SATA 4

πŸ’° BEI: 199,000/= TU

Hupati pengine kwa bei hii zaidi ya hapa!
πŸ“ KiNKA PC – Stand ya Kasota, Geita πŸ‘
πŸ“ž 0764 611 871


πŸ“£ UTAMBULISHO RASMI WA WAGENI WETU WAPYA HAPA OFISINI KWETU! πŸŽ‰πŸ’»Ni wakati wa kupandisha kiwango cha utendaji kazini! Tuna...
18/03/2026

πŸ“£ UTAMBULISHO RASMI WA WAGENI WETU WAPYA HAPA OFISINI KWETU! πŸŽ‰πŸ’»
Ni wakati wa kupandisha kiwango cha utendaji kazini! Tunajivunia kuwatambulisha rasmi mashujaa wapya waliowasili:
πŸ”₯ HP i2 Tower – Imara, yenye kasi na inayokidhi mahitaji ya ofisi, biashara, matumizi ya ofisini na studio.
πŸš€ HP Z210 Tower – (2nd Gen) Workstation yenye nguvu kwa kazi nzito k**a graphics, editing, designing na programing.
βœ… Performance ya kuaminika
βœ… Muundo imara na wa kisasa
βœ… Uwekezaji sahihi kwa kazi zako
Usikubali kubaki nyuma kiteknolojia! πŸ”₯
Fanya maamuzi sahihi leo, boresha mazingira yako ya kazi na ongeza tija mara dufu.
πŸ“ Karibu ofisini kwetu ujionee mwenyewe uwezo wa vifaa hivi na uchague kinachokufaa.
TunakuKaribisha leo! πŸ€πŸ’Ό
0764611871

πŸ””βœ¨ Ukiwa unajiandaa kumpokea mgeni wetu mpya hapa dukani kwetu… πŸ›οΈπŸŽ‰Hakikisha umefollow page na channel zetu rasmi βœ… ili ...
15/03/2026

πŸ””βœ¨ Ukiwa unajiandaa kumpokea mgeni wetu mpya hapa dukani kwetu… πŸ›οΈπŸŽ‰

Hakikisha umefollow page na channel zetu rasmi βœ… ili usikose picha πŸ“Έ, video πŸŽ₯ ofa maalum, matangazo na taarifa zote muhimu πŸ“° za matukio yanayoendelea hapa dukani kwetu 🏬πŸ”₯

Bonyeza link moja kwa moja itakayokupeleka πŸ‘‡πŸ‘‡

🟒 WhatsApp Official News Channel πŸ“²
https://whatsapp.com/channel/0029VaFGq3q2P59muA0CxF3o⁠�

🎡 TikTok 🎬
https://vm.tiktok.com/ZS911WSLQjJGv-lGn6r/⁠�

πŸ“˜ Facebook πŸ‘
https://www.facebook.com/Copyright.KinkaMedia2023⁠�

πŸ“Έ Instagram πŸ’–
https://www.instagram.com/kinkacomputer?igsh=MWQ3M3licnY0ZXJjbw==⁠�

πŸ“’ Computer πŸ’»πŸ”₯

πŸš€ Stay connected nasi kwa updates zote muhimu!
πŸ€™ 0764611871

08/03/2026

οΏ½ Kila kazi inakuwa rahisi na ya uhakika ukiwa na kifaa sahihi!
Tunakuletia HP Elite Desktop Computer Complete Set – bora kwa kazi za ofisini, biashara, masomo na matumizi ya nyumbani.
Specifications: οΏ½ Processor: Intel Core i5
οΏ½ RAM: 8GB
οΏ½ Hard Disk: 1TB
οΏ½ Monitor: 24" Wide Screen
οΏ½ Keyboard & Mouse
οΏ½ Zawadi: Flash Disk 32GB BURE
οΏ½ Bei Maalum: Tsh 500,000/= tu
Anza wiki mpya na kifaa kipya chenye nguvu na uhakika wa kazi!
οΏ½ Mahali: Kinka Movies
Karibu sana – tunakuhudumia kwa furaha.

πŸ’» Kila kazi inakuwa rahisi na ya uhakika ukiwa na kifaa sahihi!Tunakuletia HP Elite Desktop Computer Complete Set – bora...
08/03/2026

πŸ’» Kila kazi inakuwa rahisi na ya uhakika ukiwa na kifaa sahihi!
Tunakuletia HP Elite Desktop Computer Complete Set – bora kwa kazi za ofisini, biashara, masomo na matumizi ya nyumbani.
Specifications: βœ” Processor: Intel Core i5
βœ” RAM: 8GB
βœ” Hard Disk: 1TB
βœ” Monitor: 24" Wide Screen
βœ” Keyboard & Mouse
🎁 Zawadi: Flash Disk 32GB BURE
πŸ’° Bei Maalum: Tsh 500,000/= tu
Anza wiki mpya na kifaa kipya chenye nguvu na uhakika wa kazi!
πŸ“ Mahali: Kinka Movies Stand ya Kasota Geita
call πŸ€™ 0764611871
Karibu sana – tunakuhudumia kwa furaha.

Address

Kinka Movies Bugulula
Geita
2022

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:00
Tuesday 08:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 08:00 - 21:00
Friday 08:00 - 21:00
Sunday 10:00 - 16:00

Telephone

+255713657793

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinka Computer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kinka Computer:

Share