GRC Collection

Directions

GRC Collection GRC Collection tunauza bidhaa zenye ubora kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.

Wateja wangu ninyi ni wa dhamani sana kwangu. Nawakaribisha sana dukani kwangu mnipe support.  Tupo morogoro mjini mtaa ...
13/09/2026

Wateja wangu ninyi ni wa dhamani sana kwangu. Nawakaribisha sana dukani kwangu mnipe support. Tupo morogoro mjini mtaa wa mafiga. Mawasiliano 0762675198 Grc Collection

God is good
06/07/2026

God is good

Wanasema Punguza kushauri Maisha ya Watu🤫Unakuta mtu anauliza vizuri tu Melissa duka lako lipo wapi!?? Unamuelekeza akif...
07/04/2026

Wanasema Punguza kushauri Maisha ya Watu🤫
Unakuta mtu anauliza vizuri tu Melissa duka lako lipo wapi!?? Unamuelekeza akifika sasa badala afanye kilichomleta anageuka.kuwa mshauri!!!
"Oooh Melissa Nilijua duka kubwa kumbeee dogo hivi Kwa Nini usingechukia frame kubwa!!!?
Unabaki na mshangao na kujiuliza
Hivi wakati Napanga kufanya biashara nilikushirikisha!!!???
Haya mwingine anakuuliza vizuri tu una watoto wangapi!??
Unamjibu Kwa Furaha kabisaa "Namshukuru Mungu Nina watoto wa3"
Mtu badala akuambie Hongera
Anaanza"oooh ongeza mwingine wa mwisho au anasema unasubiri Nini kuongezea mwingine!!!??"" Unajiuliza Tena "....Hivi wakati naanza kuzaa nilikuambia!!!?"""
Au unakuta mtu umejitutumua zako umejenga nyumba yako ujapiga plasta, Wala kuweka Gypsum na umemkaribisha kwako Kwa upendo kabisaa badala asifie jitihada zako anageuka mshauri wakati haujataka ushauri
".....eti oooohhh unasubiri Nini kuweka Gypsum au mobna haujapiga ripu!!!??

PIPOZ K**A HAUJAOMBWA USHAURI BASI JISHIKIRIE WAKATI MWINGINE ushauri wako unaongeza machungu Kwa unayemshauri🤔

28/03/2026
Maarifa pekee bila Mungu ni kazi bure. Juhudi nazo bila Mungu haifai
26/03/2026

Maarifa pekee bila Mungu ni kazi bure. Juhudi nazo bila Mungu haifai

Unahifadhia nafaka, lishe au Unga. Tupo Morogoro  mjini
26/03/2026

Unahifadhia nafaka, lishe au Unga.
Tupo Morogoro mjini

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GRC Collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Nearby interior services