NmG Electronics

Directions

NmG Electronics Quality electronics you can trust β€” affordable prices every day πŸ’―

πŸ–€πŸ”₯ SISI NDIO WAKALI WA HIZI KAZI! πŸ”₯πŸ”ŒUnatafuta socket za kisasa zenye muonekano wa kifahari kwa nyumba, ofisi, hoteli au ...
28/10/2026

πŸ–€πŸ”₯ SISI NDIO WAKALI WA HIZI KAZI! πŸ”₯πŸ”Œ

Unatafuta socket za kisasa zenye muonekano wa kifahari kwa nyumba, ofisi, hoteli au biashara yako? 😍🏠

πŸ’― Kwa NMG GENERAL SUPPLIERS, tunakuletea socket za kisasa zinazochanganya muonekano wa kuvutia na matumizi rahisi!

βœ… πŸ–€ Rangi nyeusi yenye mvuto wa kipekee
βœ… πŸ”Œ Aina mbalimbali za socket kulingana na mahitaji yako
βœ… ⚑ Chaguo zenye USB na Type-C kwa modeli husika
βœ… πŸ’° Bei rafiki kuanzia TSh 7,000 tu!

πŸ“² PIGA SIMU AU WHATSAPP: 0743117144

πŸ“ NMG GENERAL SUPPLIERS
Ubungo Stendi ya Zamani – Soko Jipya la East Africa, Ground Floor, Duka A2-12.

🚚 Tunatuma mizigo nchi nzima β€” Bara na Visiwani!

🀝 Mafundi umeme, wakandarasi, wauzaji na wateja wa rejareja β€” KARIBUNI NMG!

πŸ”₯ NMG General Suppliers β€” Ubora unaoonekana, thamani unayoipenda!

TypeCSocket MafundiUmeme Wakandarasi DarEsSalaam

⚑ BLACK USB SOCKET β€” MUONEKANO WA KISASA, TEKNOLOJIA KWA URAHISI! πŸ”Œβœ¨Unataka nyumba au ofisi yako iwe na muonekano wa kif...
28/10/2026

⚑ BLACK USB SOCKET β€” MUONEKANO WA KISASA, TEKNOLOJIA KWA URAHISI! πŸ”Œβœ¨

Unataka nyumba au ofisi yako iwe na muonekano wa kifahari? 😍🏑 Black USB Socket ya NMG ndiyo chaguo lako!

βœ… πŸ–€ Rangi nyeusi yenye mvuto na muonekano wa premium
βœ… πŸ”Œ Socket za umeme kwa matumizi ya kila siku
βœ… πŸ“± USB na Type-C kwa kuchaji vifaa vinavyooana
βœ… 🏠 Inafaa kwa nyumba, ofisi, hoteli na biashara

πŸ”₯ BEI: TSh 15,000 TU! πŸ”₯

πŸ“² Piga simu au WhatsApp: 0743117144

πŸ“ NMG GENERAL SUPPLIERS
Ubungo Stendi ya Zamani – Soko Jipya la East Africa, Ground Floor, Duka A2-12.

🚚 Tunatuma mizigo nchi nzima β€” Bara na Visiwani!

NMG GENERAL SUPPLIERS β€” Ubora unaoonekana, thamani unayoipenda! πŸ’―

HomeFinishing ModernHome ElectricalSupplies DarEsSalaam

28/10/2026

β€œUnataka kuwasha taa sehemu moja na kuizima sehemu nyingine?”

πŸ’‘ Two Way Switch ni suluhisho linalofaa maeneo k**a ngazi. Muunganiko wake ufanywe na fundi mwenye sifa.

β€œKwa mfano, ngazi au korido ndefu inaweza kuruhusu taa kudhibitiwa kutoka sehemu mbili kupitia muunganiko sahihi.

πŸ’‘βœ¨ ANGAZA NYUMBA YAKO KWA LED PANEL LIGHT! βœ¨πŸ’‘Unatafuta taa yenye muonekano wa kisasa, mwanga mzuri na inayopendezesha ny...
28/10/2026

πŸ’‘βœ¨ ANGAZA NYUMBA YAKO KWA LED PANEL LIGHT! βœ¨πŸ’‘

Unatafuta taa yenye muonekano wa kisasa, mwanga mzuri na inayopendezesha nyumba yako? 😍🏑

πŸ”₯ LED PANEL LIGHT β€” TSh 6,000 TU! πŸ”₯

βœ… Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
βœ… Inafaa kwa sitting room, bedroom, ofisi na maduka
βœ… Inapatikana kwa umbo la duara na mraba
βœ… Chaguo bora kwa nyumba mpya na renovation!

πŸ“² Piga simu au WhatsApp: 0743117144

πŸ“ NMG GENERAL SUPPLIERS
Ubungo Stendi ya Zamani – Soko Jipya la East Africa, Ground Floor, Duka A2-12.

🚚 Tunatuma mizigo nchi nzima, Bara na Visiwani!

Usiache nyumba yako iwe ya kawaida wakati unaweza kuipa mwonekano wa kisasa! πŸ”₯πŸ’‘

ElectricalSupplies HomeDecor DarEsSalaam BeiNafuu

27/10/2026

βš‘πŸ’‘ TIPS ZA UMEME NA NMG β€” ELIMU YA UMEME KWA SEKUNDE 30! πŸ”Œβš‘

Je, unajua mambo muhimu kuhusu umeme unaotumia kila siku nyumbani, dukani au ofisini? πŸ€”πŸ 

Karibu ujifunze na Mtaalam Faris kupitia tips fupi zitakazokusaidia:
βœ… Kufahamu vifaa mbalimbali vya umeme.
βœ… Kujua kuchagua switch, socket na taa sahihi.
βœ… Kutambua hatari za umeme na kujikinga.
βœ… Kujifunza njia bora za kutumia umeme kwa usalama. πŸ’‘

🎯 Kila siku kuna jambo jipya la kujifunza!

πŸ“² Follow ukurasa wetu, Like, Comment na Share ili wengine nao wajifunze.

πŸ”Œ Kwa vifaa bora vya umeme, karibu NMG GENERAL SUPPLIES.

πŸ“ž Simu/WhatsApp: 0743117144

⚑ FOLLOW β€’ JIFUNZE β€’ KAA SALAMA!

ElectricalTips InstagramReels

Maelezo ya bidhaaJina: One Gang One Way SwitchKazi yake: Kuwasha na kuzima taa kutoka sehemu moja.Rangi zinazopatikana: ...
23/10/2026

Maelezo ya bidhaa

Jina: One Gang One Way Switch

Kazi yake: Kuwasha na kuzima taa kutoka sehemu moja.

Rangi zinazopatikana: Nyeupe, nyeusi, gold na grey.

Muonekano: Wa kisasa, nadhifu na unaofaa majumbani, ofisini na kwenye majengo ya biashara.
BEI(PRICE) : ELFU 1900 TU!

Maelezo ya bidhaaJina: Double Socket with USB-A & Type-CKazi yake: Kuunganisha vifaa viwili vya umeme kwa wakati mmoja n...
22/10/2026

Maelezo ya bidhaa
Jina: Double Socket with USB-A & Type-C
Kazi yake: Kuunganisha vifaa viwili vya umeme kwa wakati mmoja na kuchaji simu au vifaa vingine kupitia USB-A na Type-C.
Rangi zinazopatikana: Nyeupe, nyeusi, gold na grey.
Muonekano: Wa kisasa, nadhifu na unaofaa majumbani, ofisini na kwenye majengo ya biashara.
Faida:
Kuchomeka vifaa viwili vya umeme kwa wakati mmoja.
Kuchaji simu kupitia USB-A na Type-C.
Kila socket ina switch yake ya kudhibiti umeme.

BEI: ELFU 15400

NMG GENERAL SUPPLY β€” Ubora na urahisi wa matumizi katika kila jengo! ❀️

MAELEZO YA BIDHAA: NMG 1 GANG 2 WAY SWITCH πŸ’‘Jina la bidhaa: 1 Gang 2 Way SwitchKazi yake: Kuwasha na kuzima taa kutoka s...
21/10/2026

MAELEZO YA BIDHAA: NMG 1 GANG 2 WAY SWITCH πŸ’‘

Jina la bidhaa: 1 Gang 2 Way Switch

Kazi yake: Kuwasha na kuzima taa kutoka sehemu mbili tofauti, kwa mfano ngazi au korido zenye sehemu mbili za kuingilia.

Rangi zinazopatikana: Nyeupe, nyeusi, gold na grey.

Muonekano: Wa kisasa, nadhifu na wa kuvutia, unaofaa majumbani, ofisini na kwenye majengo ya biashara.

BEI(price) : SHILING 2200 TU!

NMG – QUALITY YOU CAN TRUST! ✨

Address

Ubungo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NmG Electronics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category

Nearby interior services