13/08/2026
BADILISHA MUONEKANO WA NYUMBA YAKO KUTOKA KEKO LUXURY FURNITURE!
Unatafuta samani za kisasa, imara, na zenye muonekano wa kifahari? Zipo tayari dukani kwetu Keko – unaona, unachagua, na tunakuletea siku hiyo hiyo!
✨ Bidhaa Zilizopo Stock Sasa:
🛏️ Vitanda vya Kisasa (Vyenye taa na kichwa cha velvet)
🚪 Makabati ya Nguo & Showcases (Fluted designs & Glass finish)
🍽️ Meza za Dining & Kitchen Cabinets
✅ Kwa Nini Uchague Keko Luxury Furniture?
🪵 Tunatumia mbao imara na varnish ya kiwango cha juu.
📐 Unataka vipimo maalum? Tunakujia nyumbani kupima BURE!
🚚 Usafiri na ufungaji (installation) wa uhakika.
📍 Showroom/Workshop: Keko, Dar es Salaam.
📲 Bofya "Send Message" au Wasiliana Nasi WhatsApp: 0617 972 521 ili kupata price list na picha zaidi!